Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hakika TAMTHILIA za BONGO ni PASUA KICHWA Kuna hii Tamthilia ya HUBA Imejaa UONGO wa usio na Tija kwa Watazamaji kabisa Kila Siku Wanaanzisha kitu Kipya hakina mwendelezo na Tamthilia KAMA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkali na legendary Paul mi namkubali sana, wasanii wengi wa zamani walisikika kisa yeye, Katika ngoma hizi ni ipi ambayo hakuinyonga vema maana tunajua beat zilizonyingi kafanya vema, hebu chagua...
7 Reactions
80 Replies
16K Views
Msaada: Ule wimbo wa utotoni unaanza BY SHOW I LOVE YOU BABY..... nahitaji mistari yake.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tupac alikuwa maarufu sana, lakini B.I.G alikuwa akichana zaidi yake, kikubwa sauti ya Notorious ilikuwa na Punch sana. Hebu sikiliza hii michano kwenye mitindo huru, mwaka 1989 akiwa na miaka 17 tu.
4 Reactions
3 Replies
875 Views
Wakuu Leo kichwa Yangu Haiko Sawa Kabisa. . Naombeni Mwenye Jina Lolote la Horror movies ambazo ziko Netflix niangalie Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama unapenda mikiki ubabe na matumizi ya akili na ngumi ubaguzi imecontain mambo mengi sana mpaka maswala ya jinsia moja lakini hii acha kabisa ina ngumi hatari Kuna magenge na mapolisi nchi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
JINA: SENYENGE MWANDISHI: CHIAMARO MOKIRI MAWASILIANO: Chiamaro.llc@gmail.com / +255 (0)763 170 858 UTANGULIZI. Maisha ya Hook Hobie yalikuwa na siri nzito aliyoificha kwa zaidi ya miaka...
8 Reactions
193 Replies
30K Views
*Kuna nyimbo nimesikiliza leo kaimba mrisho mpoto ft mbosso_-_TAUSI kwa mlio sikiliza vipi kuna chochote kinacho leta ule mfumo wake wake wa zamani wa kuwa chana viongozi kwa mafumbo?*
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika. Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeangalia movie kadha za kutisha ila hizi mbili ni shida 1. The NUN 2. SICCIN 2 Kama kuna nyingine unaifahamu ni kiboko zaidi nisaidie jina lake nikajipime ujasiri wangu
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari? Moja kwa moja kwenye mada: Jina la 'movie' silikumbuki wala 'sterling' wake. Mwalimu wa shule ya msingi ama sekondari, anampenda sana mama yake (child mother love). Kuna siku akawa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakubwa kwanza heri ya Mwaka mpya. Naomba kuuliza wadau tuangalie upande wa pili wa shilingi Katika hili; Wenye flow Nzuri wanashindanishwa na kutajwa sana so that's normal. Nauliza; Ni Rapper...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo zimeachiwa episode 5 za mwisho za series ya Money Heist na kufikia mwisho wa series hiyo. Ikiwa pia tupo mwezi Disemba, mwezi wa mwisho kwa mwaka huu 2021, ni series na movie gani zilikuvutia...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Ebana, kwenye pitapita mitandaoni nakutana na mabishano kati ya tracks mbili zimetolewa na makundi ya Weusi na wale ambao sasa wanajiita Kikosi Kazi. Naomba maoni yako kuchagua ni akina nani kati...
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Kwa wachezaji wa call of duty mobile shusha username ako apa tuingie vitani pamoja, Join group: https://chat.whatsapp.com/Bjl73XZEOLYKIAiGTsrd4h
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama si muda kubana, tungaliona thread hii tangu jana (Ijumaa), lakini hakuna kilichoharibika, bado ni weekend so twende na hizi hapa kuanzia usiku huu... Hii itakuwa ni thread yangu ya nane...
7 Reactions
52 Replies
8K Views
Wakuu wale wapenzi wa nyimbo za kale naomba kama kuna mtu anaweza kuwa na nyimbo ya Mzee Makasi -Anifa tafadhali anisaidie nyimbo ina nikumbusha mbali Sana laakini namna ya kupata nimeshindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeamini ushabiki ni kitu kibaya sana haina utofauti na urahibu wa madawa na pombe. I'm so soooooooo happy today yaani naumaliza mwaka vizuri Mungu akipenda shukrani za pekee kwake Daisy Skye...
9 Reactions
94 Replies
7K Views
Wadau mwenye kuufahamu wimbo ambao beat lake hutumika kwenye kipindi cha Njia panda Clouds fm msaada wa jina lake tafadhali.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom