KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,510 Reaction score 88,977 Oct 20, 2016 #1 Unaimbwa "ni upepo huu unavuma kila mahali wangu kipepeoo chunga usikutupie mbali mi wako ua taratibu bado nachanua" kama kunamtu anaufahamu anifahamishe jina la wimbo na msanii,mara nyingi ulikuwa unapigwa passion fm mwanza karibuni
Unaimbwa "ni upepo huu unavuma kila mahali wangu kipepeoo chunga usikutupie mbali mi wako ua taratibu bado nachanua" kama kunamtu anaufahamu anifahamishe jina la wimbo na msanii,mara nyingi ulikuwa unapigwa passion fm mwanza karibuni
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,510 Reaction score 88,977 Feb 9, 2022 Thread starter #2 Pamoja na kwamba mlinikalia kimya ila hatimae nishaupata..😁 Your browser is not able to play this audio.
Pamoja na kwamba mlinikalia kimya ila hatimae nishaupata..😁 Your browser is not able to play this audio.