Huyu director wa Peacemaker katoa boko kwakweli

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Kama umeanza kuangalia series ya john cena ya peacemaker iliyoandikwa na kuandaliwa na James gunn kutoka DC basi ni moja ya series alizotoa boko kwanini?

Series ina sexual scene yaani nusu utupu hii haifai kwa watoto yaan hata uwezi angalia na familia yako

Lugha nyingi za matusi mpaka kero tena huyo cena ni mshenzi kwelikweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Imejaa comedian sana hili jambo ambalo limeharibu mvuto wa series huyu

Character ya Peacemaker ajachangamka kama ilivyokuwa kwa suicide squad yaani yupo kizembe sana

yaani haifiki hata kwa hawkeye hata kidogo hapa ndo marvel wanapowakimbiza hawa DC

ni hayo naipa rate 6/10

NB: Angalia na masela zako sio familia wala watoto haiwafai
 
Jamaa ni director anayesifika sana kwa kazi nzuri, ikiwemo hii peacemaker.
 
Watu tuko tofauti
-Comedy mm napenda tena iwe dark[emoji28]
-Abusive language
-Sexual contents

Movie ikiwa ina hii combination aisee hapo penyewe sema tatizo labda vifanywe kwa poor execution
 
Kwa muvi za nje nusu utupu ni kawaida. Mpaka leo tunasema series bora ni GOT, na ukiiangalia full sex, so hiyo si tatizo, labda kama kuna mengine.

Au ww ni mchungaji? Katazame filamu za Yesu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio mchungaji mm
 
Nimeangalia peacermaker na nimefika nayo episodes za mbali kuna jokes karibu kila scene which is amazing, nlchogundua kuhusu mtoa maada am so sorry nasema hili ila najua haukuelewa most of the jokes ukatoka shallow uka conclude kuwa series mbovu
 
Nimetulia nimeelewa naangalia weekend na jamaa zangu [emoji1787][emoji41][emoji123]
 
Nilitazama trailer nikaona kuna ujinga mwingi...plus miye ni mpenzi kindakindaki wa WWE na character ya Cena naifahamu since day one kuwa ni mzee wa kuongea kama chiriku, basi stimu zote zikakata kuendelea kuifuatilia zaidi
 
Kwanza opening scene yake hauskip kabisa tofauti na most shows ...Hata mm nlikaza kichwa hivyo hivyo nilivyoichek nkabadilisha mawazo series iko njema, kama unapenda comedy na violence lakin
 
Nilitazama trailer nikaona kuna ujinga mwingi...plus miye ni mpenzi kindakindaki wa WWE na character ya Cena naifahamu since day one kuwa ni mzee wa kuongea kama chiriku, basi stimu zote zikakata kuendelea kuifuatilia zaidi
Movie pekee ambayo nilimuepewa John Cena, ni twelve rounds. Ile aliitendea haki!
 
Episode 06 tayari imetoka, ishushe kisha kaanga mahindi yako hapo uanze kutafuna ukiangalia mdogo mdogo.
 
Watu tuko tofauti
-Comedy mm napenda tena iwe dark[emoji28]
-Abusive language
-Sexual contents

Movie ikiwa ina hii combination aisee hapo penyewe sema tatizo labda vifanywe kwa poor execution
Exactly
 
Back
Top Bottom