Pauline zongo yuko wapi

G5crank

Member
Nov 26, 2011
77
98
Nautafuta sana ule wimbo wa mwanadada Pauline zongo guitar girl, ndoa ya mateso, nimeshindwa kuvumilia kila mwanzo huwa na mwisho wake mwenye nao aniambie nimtumie contact yangu anitumie whatsaap.
 
Kama unao ule wimbo wake unaitwa SAFARI naomba niwekee na mimi, hawa watoto waliozaliwa miaka hii nyimbo unawekewa kwenye flash disk lazima uulize ni takataka gani hii, kipindi hicho ukishaingia booth unaimba hadi wimbo unaisha sio hawa ukikisea kidogo unaedit
 
Samahani natoka nje kidogo na huyu Pauline, mimi nautafuta sana wimbo fulani wa Enika unaitwa 'nimekubamba' kama sijakosea. Kama ukiupata nitafurahi ukishea hapa
 
Nautafuta sana ule wimbo wa mwanadada Pauline zongo guitar girl, ndoa ya mateso, nimeshindwa kuvumilia kila mwanzo huwa na mwisho wake mwenye nao aniambie nimtumie contact yangu anitumie whatsaap.
Yupo Sana na juzi Kati hapa Kama week tatu zimepita alikuwa live East Africa tv/radio kwenye kipindi Cha dakika kumi za maagamizi planet bongo na alifanya POA sana.video zake zipo YouTube mkuu
 
Kama unao ule wimbo wake unaitwa SAFARI naomba niwekee na mimi, hawa watoto waliozaliwa miaka hii nyimbo unawekewa kwenye flash disk lazima uulize ni takataka gani hii, kipindi hicho ukishaingia booth unaimba hadi wimbo unaisha sio hawa ukikisea kidogo unaedit
Sahihi kabisa watoto wasiku hizi hawaelewi muziki mzuri ulikuwa unaimbwa kipindi gani ukiupata pia huo wa SAFARI dondosha humuhumu
 
Aliimba nyimbo kali lakini hakupata pesa ya maana, sasa anahangaika mahakamani kuomba msaada wa mzazi mwenzie MR. Nice aka mtunisi atoe matunzo ya mtoto, sanaa ya bongo ni pasua kichwa.
 
Je unaopia ule wa Pauline Zongo sijui unaitwaje, ila nakumbuka unaimbwa.
NIMESHINDWAA KUVUMILIA KILA MWANZO HUWA NA MWISHO WAKE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom