Series kali inayohusu mambo ya hip-hop

Series kali inayohusu mambo ya hip-hop

raphael andrew

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2017
Posts
825
Reaction score
950
Nimepakua series inaitwa Wu Tang Clan mpaka sasa nipo S02 ni kali mno kama ni mpenzi wa hizo mbanga hii si yakuacha kabisa.
So naomba kama kuna series inayofanana maudhui kama ya hii Wu Tang naomba share jina tuburudike.
20220121_233501.jpg
 
Iweke link yake hapa mwanangu tuipakue,ndio mbanga zetu wanefi sie hizo
 
Back
Top Bottom