Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,033
- 33,013
Hatimaye mkali wa muziki wa bongofleva chini ya jangwa la Sahara....Leo amefanikiwa kufikisha views million 100 ndani ya mwaka mmoja akiwa amemshirikisha papaa mobimba .....aka koffi olomide kutoka jiji la Kinshasa
Ikumbukwe huu ni wimbo wa pili kwa diamond platnumz kufikisha views 100m ndani ya mwaka huu.......ambapo ulianza wimbo wa Inama hii inamfanya kuendelea kuwa mfalme wa muziki kwa nchi za Africa.... especially...chini ya jangwa la Sahala
Swali.....unazani wasanii wa east Kiba, Vany boy na KondeBoy mjesh Africa..Wana nini cha kuiga kwa huyu legendary......