Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mawasiliano namba: 0718069269 Sehemu ya 01 Watu walishika vichwa vyao, vinywa wazi kuonyesha mshtuko walioupata, kila mmoja alikuwa haamini alichokuwa akikiona mbele ya macho yake. Ajali mbaya...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Jana na juzi na hata sasa , mji umezima ghafla, Rekodi inaonesha vifurushi vya internet vimenunuliwa Kwa wingi Sana siku ya juzi na hasa Jana Vijana wawili wa Diamond Platnumz wameusimamisha mji...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
MWAGIA HUMOHUMO:Sehemu Ya Kwanza (1) Toka nimezaliwa nimekuwa mwanamke mwenye mkosi kila mpenzi wangu mwanzo wa mapenzi yalikuwa motomoto. Lakini baada ya muda fulani mwanaume alinimwaga bila...
2 Reactions
20 Replies
13K Views
Madogo wameua kinyama asee.
4 Reactions
8 Replies
741 Views
Dina (sio jina halisi) ni mama wa watoto 3 ambao wote kwa sasa wanafanya shughuli zao na wako vizuri. Wakati anaolewa alimkuta mumewe na watoto wawili. Katika malezi aliwalea wote kwa usawa bila...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kwanza natangulia kuomba msamaha kwenu wapenzi wa mpira wa miguu wa simba na yanga lakini pia naomba ukweli huu uwapenye. Inauma sana pale tunapojivuna kwa watani zetu kuwa watani zetu hawachomoi...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Nautafuta sana ule wimbo wa mwanadada Pauline zongo guitar girl, ndoa ya mateso, nimeshindwa kuvumilia kila mwanzo huwa na mwisho wake mwenye nao aniambie nimtumie contact yangu anitumie whatsaap.
2 Reactions
24 Replies
9K Views
Nimepakua series inaitwa Wu Tang Clan mpaka sasa nipo S02 ni kali mno kama ni mpenzi wa hizo mbanga hii si yakuacha kabisa. So naomba kama kuna series inayofanana maudhui kama ya hii Wu Tang...
2 Reactions
2 Replies
623 Views
Natafuta Korean series inayoitwa Arthdal Chronicles....! Nimehadithiwa habari yake kwa Uchache, kuhusu Igutu wenye Damu yenye rangi ya Zambarau...!!! Wapi naweza ku download hii series..!??
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Unaimbwa "ni upepo huu unavuma kila mahali wangu kipepeoo chunga usikutupie mbali mi wako ua taratibu bado nachanua" kama kunamtu anaufahamu anifahamishe jina la wimbo na msanii,mara nyingi...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Hatimaye mkali wa muziki wa bongofleva chini ya jangwa la Sahara....Leo amefanikiwa kufikisha views million 100 ndani ya mwaka mmoja akiwa amemshirikisha papaa mobimba .....aka koffi olomide...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
BORA NIKAOE TANGA Bora nikaoe Tanga, tena binti wa Pangani, Yule anovaa kanga, na mitandio kichwani, Aongea kwa kuringa, na lafudhi ya kipwani, Awe na kauli njema, kwangu na kwa ikhwani. Pangani...
15 Reactions
37 Replies
4K Views
Wadau kwema? Hivi ni app gani au Website gani naweza nikapata nafasi ya kupakua zile ngoma za kitambo kuanzia miaka ya 2000 huko kwenye game ya Bongo Fleva. Mfano ngoma za kina Jay...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Nisaidieni kutengeneza playlist ya amapiano mpya mpya sio zile za john vuligeti. Anza kuorodhesha
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Filamu ya BINTI @bintimovie ni filamu ya kwanza ya Kitanzania kuoneshwa katika mtandao wa filamu mitandaoni kwa jina la NETFLIX. Filamu hiyo inaelimisha mabinti kutotamani maisha ya wenzao ikiwa...
6 Reactions
44 Replies
6K Views
Kama umeanza kuangalia series ya john cena ya peacemaker iliyoandikwa na kuandaliwa na James gunn kutoka DC basi ni moja ya series alizotoa boko kwanini? Series ina sexual scene yaani nusu utupu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Hawa ndio wasanii 5 wa Hip hop bora wa muda wote 1. Afande sele- Rhymes king namuita genious 2. Proffesor jay- Real life bars legend 3. Fid Q- Analytical and critical thinker 4. Sugu- Activist /...
10 Reactions
55 Replies
4K Views
Habar wadau wa michezo, Baada ya kelele nyingi za muda mrefu kua Tanzania marefa wetu Hua wanaboronga mechi kutokana na kufanya maamuzi ambayo yanaleta utata nimeona ni Bora wawawekee waamuzi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba nijuzwe, huu wimbo uliimbwa na nani na unaitwaje?
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Back
Top Bottom