Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

MICHIRIZI YA DAMU 01- Nyemo Chilongani GIZA, Misri Zilisikika kelele kutoka ndani ya piramidi moja lililokuwa katika Mji wa Giza uliokuwa nchini Misri. Watu waliokuwa humo ambao asilimia kubwa...
25 Reactions
3K Replies
241K Views
HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni...
1 Reactions
5 Replies
657 Views
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa wanabodi ambao hupenda kupongeza pale panapo stahili pongezi as "encouragement" ili kuendeleza mazuri, na hukosoa pale panapo stahili critique kama mambo hayaendi...
4 Reactions
64 Replies
8K Views
Oiii wadau, sijui ni mimi tu ila sikuhizi napigiwa sana simu na watoa huduma wa makampuni mbalimbali hasa haya ya kubettisha na kiukweli huwa mara nyingi nawamind kwasabab nakua niko busy na...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu ngoma gani kali Kati ya hizi Kanisa by Dizasta Amen by Racha
2 Reactions
3 Replies
540 Views
Angalizo: Kabla ya kuanza nitoe angalizo na maoni kidogo. Ila pia nianze kwa kuomba samahani kukatisha riwaya iliyopita kwa wale ambao mlikuwa mnaifuatilia uwanja wa mauaji. Sababu ni nyingi na...
2 Reactions
90 Replies
16K Views
Simulizi: NGUVU YA MAPENZI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Mdada mmoja mrembo sana aliyeitwa Angel alionekana siku hii akiwapeleka wadogo zake kuripoti...
6 Reactions
486 Replies
410K Views
Sehemu ya kwanza Kwa Mary Robert.2010 Nayajua mengi kwakuwa nimempa kila mtu nafasi ya kuwa mwalimu wangu,,kila mtu hunifunza kwa yale atakayo,,naheshimu kauli na mawazo ya wote kwa uzito sawa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ilikua Siku kama ya leo mwaka 2019 pale familia,wadau,na wapenzi wa muziki wa hip-hop tulikumbwa na majonzi kufuatia taarifa ya kifo Cha msanii kingzilla (king of freestyle bongo.) Godzilla...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimekuwa Muhudhuriaji wa Night clubs mbalimbali hapa kwenye jiji la makala Na Jiji moja kule kaskazini mwa Tanzania. Imeibuka Tabia ya Madj wetu wanaoburudisha mioyo yetu kupiga nyimbo za Dini...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Hi 👋 Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende...
15 Reactions
119 Replies
17K Views
Jamaa ni wakali sana, msikilize huyo wapili alivyo flow na biti. Anaweza fanya collabo na nani?
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Msanii Trey Songz anayekabiliwa na kesi ya madai ya Ubakaji, ameandika kupitia Insta Stories akisema "Uongo hautakuwa ukweli kamwe. Haijalishi nani anachagua kuamini hivyo", ikielezwa ni majibu ya...
1 Reactions
0 Replies
730 Views
Msanii dimond platnumz ametoa kibao kipya kinachokwenda kwa jina la zuwena...wimbo mzuri sikatai ila kwa maoni yangu mimi binafsi ilikuwa sio lazima kuita zuwena...angeita hata Antonia tu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
RIWAYA; DOA -----1----- Ulikuwa ni muda sahihi kwa kila mmoja kurejea nyumbani, muda ambao jua lilikuwa limeanza kuiacha Mashariki yake na kwenda kwa mchepuko wake bi. Magharibi. Harakati...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
2 Reactions
8 Replies
630 Views
Kwenu EA Radio Binafsi ni msikilizaji wenu mzuri wa vipindi vya Superbreakfast na EA Drive. Sijui ni sababu gani hasa imefanya kuwaondoa Evans Bukuku, Bobby Mongi na Chris Lugoe katika kipindi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Dizasta vina hatia 1V.(hatia ya nne) Hii kwangu ndio ngoma bora zaidi kutoka kwa Dizasta, Sijaona ngoma ya Dizasta inayoweza kukaa juu ya hiyo. Sio Mwanajua,Shahidi,Kikaoni wala Kibabu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom