juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Ni kawaida sana na hii ipo duniani kote ,hata huko Marekani ipo sana,msanii au kundi la muziki kuja na wimbo mmoja unabamba kisha baada ya hapo wanapotea au wanatoa zingine ila zinashindwa kubamba kwa kuwa hazifiki kiwango.sasa hapa kwetu yapo makundi yalikuja yakabamba na wimbo mmoja na mwisho yakapotea,na hata wasanii wapo walikuja wakabamba na wimbo mmoja na kisha wakapotea.
Mimi list yangu iliyokuja na kupotea ninayoikumbuka ni hii hapa ,hebu na wewe tukumbushe ya kwako unayoikumbuka.
FRESH P-tina
HONGERA-baadae
MWIJU-hujawajua mademu
BABRII-kizizi
MALIKI-mzuri ameumbika
IMAMU ABBAS-mitaa ya kati
ADILI CHAPAKAZI-peke yangu
BABUU WA KITAA-kimbia
RAH P-hayakuhusu
DAJO-dajo
B BOY-sina demu
FARIDA-pesa
KIMBUNGA-wamepima
ZOLA D-moto wa tipa
RADO-
HASHEIM-ndivyo tunavyofanya
CHINDO MAN-nawaza
NYASI-napiga simu unakata
PETE-mazoe
BWANA MKUBWA-sister duu unataka kuja home
PIKO _kikongwe
WANDAGO CREW-ingekuwa poa
B LOVE M-anakudanganya
BWV-barabara
WACHUJA NAFAKA-wachuja nafaka
LUNDUNO-hisia(sio classic)
NECK BREAKERS-nataka niseme(ukisikiliza hii ngoma haina tofauti na ngoma mpya ya Billinas kimashairi)
MABIBO CREW-picha ya leo kali
MANYEMA FAMILY
TLST-fanya fasta
..............
Mimi list yangu iliyokuja na kupotea ninayoikumbuka ni hii hapa ,hebu na wewe tukumbushe ya kwako unayoikumbuka.
FRESH P-tina
HONGERA-baadae
MWIJU-hujawajua mademu
BABRII-kizizi
MALIKI-mzuri ameumbika
IMAMU ABBAS-mitaa ya kati
ADILI CHAPAKAZI-peke yangu
BABUU WA KITAA-kimbia
RAH P-hayakuhusu
DAJO-dajo
B BOY-sina demu
FARIDA-pesa
KIMBUNGA-wamepima
ZOLA D-moto wa tipa
RADO-
HASHEIM-ndivyo tunavyofanya
CHINDO MAN-nawaza
NYASI-napiga simu unakata
PETE-mazoe
BWANA MKUBWA-sister duu unataka kuja home
PIKO _kikongwe
WANDAGO CREW-ingekuwa poa
B LOVE M-anakudanganya
BWV-barabara
WACHUJA NAFAKA-wachuja nafaka
LUNDUNO-hisia(sio classic)
NECK BREAKERS-nataka niseme(ukisikiliza hii ngoma haina tofauti na ngoma mpya ya Billinas kimashairi)
MABIBO CREW-picha ya leo kali
MANYEMA FAMILY
TLST-fanya fasta
..............