Kanda Bongo Man

Ironbutterfly

JF-Expert Member
Feb 5, 2023
3,044
8,165
Habari za asubuhi waungwana. Ni siku mpya tena ya kuwajibika.

Leo nimeamka na mzuka wa kusikiliza nyimbo za huyu mwamba, aliyetikisa miaka ya 90. Alibamba na nyimbo kama Elizabeth, inde monie, moninga etc.

Alipata umaarufu sana, sijui yuko wapi huyu mwamba siku hizi!
 
Huyu alikuwa mwanamuziki na mwimbaji mzuri ila alichukua baadhi ya wapigaji gitaa Tanzania kama sijakosea Dar na Arusha, baada ya kuzunguka nao kwa muda mrefu na mkataba kwisha aliwapunja malipo yao walirudi nchini wakinung'unika sana
 
😅😅😅Aliwabana mshiko?labda aliwakata kwenye chakula ,hotel na mavazi.
 
Nakumbuka alivyowika na vibao vyake nikiwa mdogo mara tuimbe inje monie, mara inde mornie basi mradi tumeimba! Nyimbo zilikuwa nzuri sana kanda bongoman karibu kila nyumba ilikuwa na ile cassette
 
Habari za asubuhi waungwana. Ni siku mpya tena ya kuwajibika.

Leo nimeamka na mzuka wa kusikiliza nyimbo za huyu mwamba, aliyetikisa miaka ya 90. Alibamba na nyimbo kama Elizabeth, inde monie, moninga etc.

Alipata umaarufu sana, sijui yuko wapi huyu mwamba siku hizi!
Muchana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom