mis lemich
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 207
- 176
Ni nyimbo za aina gani nzuri kujiliwaza unapokua upo mpweke na mwenye maumivu ya kuachwa .... Wakuu
umeachwa n mpenzi wako... Na bado moyo ulishaozaaaMazingira ya kuachwa ni yapi?
Wanawake wazur wazur wameolewa wamebaki manungayembe wanatembeza. Nimemsahau mtunziNi nyimbo za aina gani nzuri kujiliwaza unapokua upo mpweke na mwenye maumivu ya kuachwa .... Wakuu
Wanawake wazur wazur wameolewa wamebaki manungayembe wanatembeza. Nimemsahau mtunzi
pole, achana na manyimbo walti huu...Ni nyimbo za aina gani nzuri kujiliwaza unapokua upo mpweke na mwenye maumivu ya kuachwa .... Wakuu
Mbele kwa mbele-Capt Komba