Mimi jamaa tangu aanze kukohoa Kwenye nyimbo zake sijawahi kuwa na hamu nazo tena
Mkuu, hebu tupe kwanza tafsiri ya 'KITULIA' kwa mujibu wa uzi huu.Nimeiskiliza hii ngoma yake mpya ya single again naona kijana yupo vizurii
Mkuu, hebu tupe kwanza tafsiri ya 'KUTULIA' kwa mujibu wa uzi huu.Nimeiskiliza hii ngoma yake mpya ya single again naona kijana yupo vizurii