Mwanzoni nilikua napenda kuishi sehemu ambayo haina makelele lkn sasa nimekuwa mtu wa stress sana siishi na familia yangu nimekuwa mtu wa mawazo sielewi hatma yangu kuondokana na stress nakunywa...
Kenge kwenye moja na mbili
Hivi ni kweli MTAJI WA MASKINI NI NGUVU?? Kama ni kweli acha nikawe mwizi..Ngoja kwanza nikiwa mwizi si ZA MWIZI NI AROBAINI?? Amakweli NGOMBE WA MASIKI HAZAI,NA AKIZAA...
Habari zenu wana JF
Natumai Pasaka imeisha salama. Miaka kidogo iliyopita kulikua na uzi watu walipost bongofleva zile old school. Ziliwekwa mp3 hapo lakini ule uzi sijui ulifutwa au la.
Mimi...
Mmiliki wa hii Pub hapa Iringa ana kazi kubwa ya kufanya. Niko hapa saa hii, huduma ni Mbovu ajabu, wahudumu wana lugha za ajabu na dharau hadi unashangaa.
Kama ilivyo kwa Liquor store nyingi...
Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Album ya Msanii wa Muziki wa Injili Christina Shusho Aprili 9, 2023 katika Tamasha la Mtoko...
Kabint niliwah kukatongoza kakanikataaa
Baada ya miez kadhaa siku km ya leo nikakuta missed call yake kwenye kimeo changu
Nikaenda kwenye simu ya kijiji ili nimrukie hewan
Tunaiita sim ya kijij...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasili Mlimani City Jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya Tamasha la Mtoko wa Pasaka Aprili 9, 2023 linalowakutanisha...
Simulizi : SAFARI NDEFU KUELEKEA KABURINI
Mwandishi : NYEMO CHILONGANI
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Muda ulikuwa ukizidi kwenda mbele huku dereva wa gari ndogo aina ya Prado...
Mh Rais najua Kuna baadhi ya watanzania hawakutakii mema na upo nao HAPO Serikalini Mama Dr. Rais Samia
Hizi ndo nyimbo ZINAZO pigwa mtaani kwetu huku Mae.
Kula ngomaaaaa Mh Rais
Pasaka njema...
Habari,
Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa...
Salamu,
Hiki kipaji inaonekana Mungu hajawapa hawa akina Hawa, naona labda kwa wenzetu wazungu. Hata kwa wazungu sijaona, hapa bongo nawaona tu kina joti na wenzake kina mpoki na Masanja.
Hebu...
Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele
"TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa...
Wakuu hii ndo list ya movie za mapigano
[emoji419]kungfu panda
[emoji419]the big boss
[emoji419]the one -armed swordsman
[emoji419]the master of flying guillotine
[emoji419]tai chi master...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.