Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

MAGORI MATATU YA MGENI! Ngurumo na radi vilitawala,huku wingu zito likitanda,ilikuwa ni dalili kuwa muda wowote mvua itanyesha,tena siyo ya rasharasha ilikuwa ya uhakika! Muda huo ndiyo nilikuwa...
7 Reactions
142 Replies
24K Views
NAKONDA SABABU WEWE. Kwanini nijiadhibu, kama kweli sikupendi Nikavumilia tabu, kwako imenasa gundi Kukuacha najaribu, moyo wangu siushindi Huku kukonda nakonda, Ila sababu ni wewe. Kila unacho...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
• Ace hood-hustle Mama need house, Babe need some shoes Hustle, hustle hard!.. hustle, hustle hard! Hakaika kila niisikiapo nyimbo hii ni lines hizo ambazo naweza kuziimba kwa sauti ya juu...
2 Reactions
3 Replies
532 Views
Mm sijaelewa hii tunzo vipi nyinyi mmeielewa? Utofauti ukwap hapa?
1 Reactions
8 Replies
611 Views
Tuzo zinazotolewa muda huu kupitia UTV wapo live mgeni rasmi ni Mh, waziri balozi Pindi Chana. ==== Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop Kalajeremiah Bill_nass...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Wakuu, Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa. Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa #nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Tuzo za Muziki Tanzania zinatolewa kwa ajili ya wanamuziki mahiri na sio maarufu. Mhe. Chana amesema hayo katika Usiku...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Makaburi yamezika ndoto nyingi, ndio! wala sina uwezo kulikataa hilo ila tu ninalo la kuongezea kwenye hilo. Kama ilivyo kwa makaburi pia mapenzi nayo yamechangia sehemu nyingine kubwa ya kuzika...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Malkia wa Muziki wa #BongoFleva kutoka Label ya WCBWasafi, Zuhura Othman Soud, 'Zuchu' ameng’ara kwa kushinda Tuzo nyingi zaidi katika Tuzo za Muziki Tanzania TMA2022 zilizotolewa Usiku wa Aprili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili. Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello fellas! Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama. Jambo...
2 Reactions
2 Replies
743 Views
Moja KIJIJI cha Tung’aine kinapatikana mkoani Mara katika wilaya ya Tarime mpakani kabisa na nchi jirani ya Kenya. Huko unapatikana mto mkubwa unaojulikana kama mto mesani. Ni katika bonde kubwa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams'...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
WAVULANA JILINDENI NA MABINTI JICHUNGENI (Epsode 01) Kijana aliyesoma miaka 17 kutoka shule ya msingi mpaka chuo kikuu bila kuwahi kutongoza mabinti, kuzini na mabinti wala kujichua aandika...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Namsikia Maulid Kitenge akiejea Wasafi FM akiwa na Gerald Hando. Nadhani mtakumbuka kilichompata Hando pale hivi karibuni. Maulid kaanza na upembuzi wa magazeti lakini leo kaingia kwenye upembuzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Database of Movie Dialogs You Only Live Twice (1967) | It's a movie | Find on IMDB Full transcript in English languagePermalink here (line 1) Calling Cape Com. Cape Com? This...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama haujaiona hii Movie nashauri iangalie ni movie moja Nzuri sana (Good Story; Good Actions; and a Bit Emotional) kwa kuogopa kutoa Spoilers ngoja nikupe Theme Song yake kama Dondoo...
1 Reactions
0 Replies
721 Views
Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp. Amesema Lable hiyo itakuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Twende kazi, Songea Ilikuwa mwaka 2011 majira ya saa Tisa mchana nikiwa na rafiki yangu mudy watoto wa wanajeshi tukiwa tunatoka tution....tution tulikuwa tunasoma mtaa wa pili kutoka mtaa wa...
8 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Back
Top Bottom