Siku tuliyovamiwa na majambazi

sakwano

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
304
827
Ilikuwa ni majira ya pata saa Saba usiku,nikiwa katika hali ya usingizi mzito sana gafla nilishtushwa na sauti ya mke wangu.

Mke wangu aliipaza sauti yake kwa nguvu sana kuashiria hali ya hatari ya kutaka msaada waharaka sana .."majambazi mme wangu amka nisaidie"hali ile ya kusikia sauti ya mke wangu ilinishtua sana kwa sababu sikuwahi kumsikia mke wangu akipiga kelele vile tokea nimemzoea yani hata tukiwa na utofauti uliopelekea kugombana haikuwahi kusikika sauti ile ya juu na yakuonesha akihitaji msaada,..

Bhasi bhana niliamka upesiupesi nikiwa na hema juujuu mithili ya mtu aliekuwa ametoka kukimbia kwa maana mapigo yangu ya moyo yalikuwa Kasi sana...ndugu msomaji tukio hili usijekuomba likutokee kwa sababu hili lilikuwa tendo la ndani ya sekunde chache sana fikilia ile hali umestushwa usingizini halafu unatakiwa ukabiliane na kitu hata ambacho kwa haraka haraka haukioni.,..ooky sawa tuendelee sasa,nilishtuka fasta kuelekea mlangoni kwenda kuongezea nguvu ambazo zilizokuwa zikizidiwa na adui aliekuwa njee akiivuta mlango kuelekea nj'e kwa hio ikawa sasa ni battle ya kuugombania mlango Kati ya sisi wawili yani mimi na mke wangu tukiwa ndani ya chumba na jambazi alieko njee akitumia nguvu kuingia ndani.

Ndugu msomaji nilimshuhudia kipande cha mtu kikiwa kimebebelea mtutu wa bunduki aina ya' smg',nilimuona vyema kupitia uwazi ulioachwa wazi baada ya mlango kufungua kiasi kwa sabubu kabla sijaufikia mlango wife alikuwa kashaanza kuzidiwa nguvu hadi pale nilopofika nakuufunga mlango kwa nguvu,...hapa nakumbuka hadi kitenge cha wife kilidondoka pale chini ya mlango, sote tukiwa ndani mda huo wife hata haelewi kama kabaki na Pichu tu hakutambua kama kitenge alikidondosha na mimi nikiwa na boksa tu,.

Baada ya kuuthibiti mlango kwa kuufunga na funguo kwa ndani ndipo niliposikia sauti zikisema fungua km...hapo alisindikiza na like tusi la kumtukana mzazi wa kike,..ama kwa hakika hii ilikuwa ni siku ngumu sana ...baada ya mda mchache nilibaaini kuwa kulikuwa na watu njee zaidi ya wawili...salama yetu mimi na wife ni yule jamabazi kutumia mkono mmja kutaka kuingia ndani kwetu.,,..sasa ilikuwaje hadi wife akutane na jambazi mlangoni ni kwamba yeye ni muda alikuwa anataka kwenda msalani ndipo akakutana na hilo dhoruba,..

Acha kabisa hili tukio ukiwa unalisimulia ni kama linachukuwa mda lakini haya matukio yalikuwa yakitokea kwa haraka sana..bhasi sawa ...akili yangu ikawa tayri imeshajua hali ya hatari mbele yetu itaweza kutugharimu uhai wetu hapo ndipo wazo la kuwapigia marafiki zangu simu..na kwa kweli akilini mwangu jina la kwanza likanijia ni la rafiki angu John,bhasi nikachukua simu iliyokuwa imechomekwa katika chaji nikampigia bila mafanikio ile simu haikupokelewa.

Nikampigia rafiki angu mwingine anaitwa Michael..baada ya simu kuita mara tatu Michael alipokea simu na nilimsihi Michael anisikilize kwa makinj na kumwambia kuwa tumevamiwa na majambazi awajulishe polisi mda huo naongea na Michael nilikuwa nikiongea kwa sauti ya chini sana mda huohuo jamaa wakawa wanafanya taratibu za kuuvunja mlango wetu...hapo ndipo niliona rangi zote jamaa walikuwa wakitusihii tutulie tusipige simu polisi wala kumpigia yoyote.

Jamaa walikuwa wakiupiga mlango kwa nguvu sana na kutukana wakisema ni bora tufungue maana wakiuvunja wakiingia hawatatuacha salama...

Bhasi bhana lakini hii nyumba haikuwa yangu na wala haikuwa ya kupanga Bali mimi nilikuwa ni mfanyakazi ..nilikuwa (shamba boy)yani majukumu yangu yalikuwa ni kukata maua kumwagilia na kufanya shughuli za pale nyumbani kwa hio hili tukio wakati linatokea hawa majambazi walitagert sehemu mbili yaani nyumba kubwa na nyumba ndogo zote zilikuwa ndani ya fensi moja iliyozungushiwa fensi ya umeme na vilevile kulikuwa na mlinzi wa kampuni...ambaye alipigika vibaya sana maana kesho yake palitapakaa damu nyingi sna katika lile eneo alilokuwa akipendelea kukaa hata mchana.

Maisha haya bhana kazi ya ulinzi ni kazi ya hatari sana ...majambazi Hawa bhna walikuwa wamefata pesa tu hawakuhitaji Chohote na usiku ule walifanikiwa na kuondoka na milioni 25 za boss wangu...

Turudi kwa Michael., Michael alifanikiwa kuwapata polisi lakini kama ujuavyo polisi huchelewa kufika eneo la tukio yani jamaa kesho yake alikuwa akinisimulia kuwa polisi walikuwa wanasema kituoni hakuna gari na askari hawapo...mara askari anamuuliza Michael eti majambazi Wana siraha gani?waliposikia Wana smg' polisi akakata na simu

Bhasi bhana katika kipindi chote hicho wale majambazi waliaacha kuuvunja mlango wetu wakajikita na zoezi la kuvunja dirisha ambalo alilokuwa akilala boss wangu na mkewe...sasa nakumbuka nilikuwa nasikia kabisa namna walivokuwa wakigonga dirisha kwa kutumia vitu vizito...jamaa walivunja kioo,wakavunja grill nakupindisha zile flat bar za dirisha na kuzama ndani aisee....

Ngoja ninjwe maji kwanza niendelee na mpka nilimpataje wife hadi tukakaa nae hapo ipo koneskeni ya wife na jambazi.

Muendelezo:

Baada ya tukio kuwa lishatokea,asubuhi yake sisi sote tulikuja kuchukuliwa na polisi,mimi,mke wangu,mlinzi yeye alipelekwa hospitali,.baada ya kupelekwa polisi tuliweza kuchukuliwa maelezo marefu sana,tulikuwa tukihojiwa tofautitofauti yani alianza mke wangu ndio nikafautia mimi kuhojiwa

Ila polisi bhana...yani hii kitu watu wamesomea kwanza wanakupanikisha kinshenzi yani wanakuita jambazi afu wananiuliza pesa tulizopiga tumegawana bei gani bei gani ukiwa na roho nyepesi unaweza tu ukaanza kulia,

Mimi kitu kikubwa kilichonisaidia ni kwamba huyu boss wangu alikuwa ananikubali sana na isingekuwa rahisi kwa yeye kumuingia akilini kuwa mimi nimeshiriki katika tukio lile la kikatiri.

Bhasi sisi tulirudi nyumbni na mke wangu tukawa tunaendelea na majukumu yetu kama kawaida mke wangu yeye alikuwa akishuhulika na shughuli za usafi,kusaidia kupika pamoja na kufua wakati mimi man of the match nilikuwa nashughulika na chchote pale katika kuweka mazingira sawa nje na kuratibu shughuli zote kama kuosha magari,garden na kumpeleka boss kwenye harakati zake...kadri siku zilizokuwa zikisonga ndivyo niliona maisha yangu yanabadilika maana boss alinisaidia kupata leseni na kuniahidi mambo mazuri mbeleni kwa sabb licha ya kuwahi kupata mke bado nilikuwa msikivu na mwepesi wa kuelewa mambo kwa haraka...nilimpata mke mapema tu baada ya kumaliza chuo.

Bhasi bhana niwarudishe nyuma tena baada ya siku kadhaa wale polisi walikuwa wakirudi mara kwa mara na mara nyingi walikuwa wakimletea mrejesho boss juu ya mwenendo wa ufuatiliaji wa wale majambazi,bhasi nakumbuka wale askari walikuwa wakiwa hawana mafuta wanakuja kuchukua hela wanasepa halafu wanampa matumaini boss kuwa majambazi watapatikana tu kwani dalili zilikuwa ni nzuri.

Ila nilichonoti ni kuwa haijalishi kwako utaweka ulinzi wa namna gani majambazi wakishazamiria kuvunja na kuingia kwako watakuja tu,..ndugu msomaji embu fikilia nyumba amabyo ilikuwa na alarm security pamoja na electric fence bado jamaa walizama ndani.

Bhasi ile kesi iliishaga juu kwa juu tu sisi mimi na mke wangu maisha yaliendelea kama kawaida na nilianza kuona maendeleo nikaanza kuimarika katika udereva,nikaanza kuaminiwa na kutoka na gari nikiwa pekeangu,nikaanza kupokea hela nzuri kidogo katika mshahara wangu kwakweli maisha yalikuwa nishayapatia kwa sababu mimi nilianza kazi kwa msaada wa profesa mmoja aliekuwa akifundisha sua huyu profesa nilikuwa nikimuhudumia wakati Niko nasimamia kibanda cha mpesa cha shemeji yangu kilichokuwa pembezoni njee kidogo ya geti la sua...ndipo yule profesa aliponisoma kuwa ni kijana mtiifu ikamlazimu yeye kunisaidia kunipeka kwa tajiri ambae ndio akawa boss wangu.

Siku hiyo wakati napelekwa nikapewa majukumu na nikaambiwa niseme kwa shughuli ya kutengeneza bustani na kukata maua niseme nilipwe bei gani ...nilisema laki moja kipindi icho niliona ni pesa nyingi sana bhasi yule boss akasema ataniongezea elfu hamsini kufanya jumla ya laki na nusu.,.

Mke wangu mpenzi kabla ya kumpata alikuwa ni dada wa kazi wa nyumba ya jirani sasa siku moja nimetoka kumfungulia geti boss wangu ndipo nilipomuona kwa mara ya kwanza akiwa amevalia top nyeusi juu ilioacha sehemu ya uwazi baina ya top na kanga ya bluu iliyokuwa safi sana macho yangu yaliweza kukiona kiuno kizuri chenye kitovu na chuchu konzi na kiuno laini nikawaza lazima nifanye jambo la kibaharia.

Yule mke wangu alikuwa akiuza vitumbua na deli lake ko nikawa namalizia kazi harakaharaka naenda kumsaidia kazi ya kuuza na kweli ailinipenda sana sababu alikuwa ananipigia kila asubuhi ili tuende tukatembee vitumbua ko nikawa natoka nambebea nazungasha nae fasta kuuza vitumbua ili nipate mda wa kupiga nae story...niweke wazi hapa wife nilimkuta bikra.

Ndugu msomaji hapa kwa kwa kutulia kuna jambo la kishujaa nililifanya hapa...kuna siku boss wangu alinitaarifu kuwa tutakuwa na safari ya kwenda kilosa,,,basi nilijiandaa vyema na mimi ndio nilikuwa dereva wa hii safari,nakumbuka niliendesha gari kutokea Moro mjini tulipokaribia maeneo ya dumila boss wangu alinitaka anisaidie kuendesha kwa kuwa hupenda sana kuendesha gari mimi sikumpinga nikatii Yale maagizo...wakati nimekaa kiti cha mbele kwenye harier nilivuta kiti kuelekea chini nikajilaza kwa kuwa safari ilikuwa bado...

Baada ya mwendo kidogo nilishtushwa na kuyumba yumba sana kwa gari ndugu msomaji huwezi amini kilichotokea hata mimi nilikutwa nashikwa na butwaa maana nilishindwa kumwambia ashike breki nilihisi ningemchanganya zaidi...ndugu zangu gari ile ilibiringita mara tatu
 
Kwa tabia ya bibi angu angewaambia subirieni muende mmekula😅
FB_IMG_16517829275623737.jpg
 
I
Ilikuwa ni majira ya pata saa Saba usiku,nikiwa katika hali ya usingizi mzito sana gafla nilishtushwa na sauti ya mke wangu.

Mke wangu aliipaza sauti yake kwa nguvu sana kuashiria hali ya hatari ya kutaka msaada waharaka sana .."majambazi mme wangu amka nisaidie"hali ile ya kusikia sauti ya mke wangu ilinishtua sana kwa sababu sikuwahi kumsikia mke wangu akipiga kelele vile tokea nimemzoea yani hata tukiwa na utofauti uliopelekea kugombana haikuwahi kusikika sauti ile ya juu na yakuonesha akihitaji msaada,..

Bhasi bhana niliamka upesiupesi nikiwa na hema juujuu mithili ya mtu aliekuwa ametoka kukimbia kwa maana mapigo yangu ya moyo yalikuwa Kasi sana...ndugu msomaji tukio hili usijekuomba likutokee kwa sababu hili lilikuwa tendo la ndani ya sekunde chache sana fikilia ile hali umestushwa usingizini halafu unatakiwa ukabiliane na kitu hata ambacho kwa haraka haraka haukioni.,..ooky sawa tuendelee sasa,nilishtuka fasta kuelekea mlangoni kwenda kuongezea nguvu ambazo zilizokuwa zikizidiwa na adui aliekuwa njee akiivuta mlango kuelekea nj'e kwa hio ikawa sasa ni battle ya kuugombania mlango Kati ya sisi wawili yani mimi na mke wangu tukiwa ndani ya chumba na jambazi alieko njee akitumia nguvu kuingia ndani,...ndugu msomaji nilimshuhudia kipande cha mtu kikiwa kimebebelea mtutu wa bunduki aina ya' smg',nilimuona vyema kupitia uwazi ulioachwa wazi baada ya mlango kufungua kiasi kwa sabubu kabla sijaufikia mlango wife alikuwa kashaanza kuzidiwa nguvu hadi pale nilopofika nakuufunga mlango kwa nguvu,...hapa nakumbuka hadi kitenge cha wife kilidondoka pale chini ya mlango, sote tukiwa ndani mda huo wife hata haelewi kama kabaki na Pichu tu hakutambua kama kitenge alikidondosha na mimi nikiwa na boksa tu,.

Baada ya kuuthibiti mlango kwa kuufunga na funguo kwa ndani ndipo niliposikia sauti zikisema fungua km...hapo alisindikiza na like tusi la kumtukana mzazi wa kike,..ama kwa hakika hii ilikuwa ni siku ngumu sana ...baada ya mda mchache nilibaaini kuwa kulikuwa na watu njee zaidi ya wawili...salama yetu mimi na wife ni yule jamabazi kutumia mkono mmja kutaka kuingia ndani kwetu.,,..sasa ilikuwaje hadi wife akutane na jambazi mlangoni ni kwamba yeye ni muda alikuwa anataka kwenda msalani ndipo akakutana na hilo dhoruba,..

Acha kabisa hili tukio ukiwa unalisimulia ni kama linachukuwa mda lakini haya matukio yalikuwa yakitokea kwa haraka sana..bhasi sawa ...akili yangu ikawa tayri imeshajua hali ya hatari mbele yetu itaweza kutugharimu uhai wetu hapo ndipo wazo la kuwapigia marafiki zangu simu..na kwa kweli akilini mwangu jina la kwanza likanijia ni la rafiki angu John,bhasi nikachukua simu iliyokuwa imechomekwa katika chaji nikampigia bila mafanikio ile simu haikupokelewa,nikampigia rafiki angu mwingine anaitwa Michael..baada ya simu kuita mara tatu Michael alipokea simu na nilimsihi Michael anisikilize kwa makinj na kumwambia kuwa tumevamiwa na majambazi awajulishe polisi mda huo naongea na Michael nilikuwa nikiongea kwa sauti ya chini sana mda huohuo jamaa wakawa wanafanya taratibu za kuuvunja mlango wetu...hapo ndipo niliona rangi zote jamaa walikuwa wakitusihii tutulie tusipige simu polisi wala kumpigia yoyote.

Jamaa walikuwa wakiupiga mlango kwa nguvu sana na kutukana wakisema ni bora tufungue maana wakiuvunja wakiingia hawatatuacha salama...

Bhasi bhana lakini hii nyumba haikuwa yangu na wala haikuwa ya kupanga Bali mimi nilikuwa ni mfanyakazi ..nilikuwa (shamba boy)yani majukumu yangu yalikuwa ni kukata maua kumwagilia na kufanya shughuli za pale nyumbani kwa hio hili tukio wakati linatokea hawa majambazi walitagert sehemu mbili yaani nyumba kubwa na nyumba ndogo zote zilikuwa ndani ya fensi moja iliyozungushiwa fensi ya umeme na vilevile kulikuwa na mlinzi wa kampuni...ambaye alipigika vibaya sana maana kesho yake palitapakaa damu nyingi sna katika lile eneo alilokuwa akipendelea kukaa hata mchana.

Maisha haya bhana kazi ya ulinzi ni kazi ya hatari sana ...majambazi Hawa bhna walikuwa wamefata pesa tu hawakuhitaji Chohote na usiku ule walifanikiwa na kuondoka na milioni 25 za boss wangu...

Turudi kwa Michael., Michael alifanikiwa kuwapata polisi lakini kama ujuavyo polisi huchelewa kufika eneo la tukio yani jamaa kesho yake alikuwa akinisimulia kuwa polisi walikuwa wanasema kituoni hakuna gari na askari hawapo...mara askari anamuuliza Michael eti majambazi Wana siraha gani?waliposikia Wana smg' polisi akakata na simu

Bhasi bhana katika kipindi chote hicho wale majambazi waliaacha kuuvunja mlango wetu wakajikita na zoezi la kuvunja dirisha ambalo alilokuwa akilala boss wangu na mkewe...sasa nakumbuka nilikuwa nasikia kabisa namna walivokuwa wakigonga dirisha kwa kutumia vitu vizito...jamaa walivunja kioo,wakavunja grill nakupindisha zile flat bar za dirisha na kuzama ndani aisee....

Ngoja ninjwe maji kwanza niendelee na mpka nilimpataje wife hadi tukakaa nae hapo ipo koneskeni ya wife na jambazi.
Itaendelea sa ngapi?!
 
Hizi story mpaka zinachosha sasa,kuna moja sijui ”Yule jirani yangu wa Goba blah blah blah" nikaisoma somaaa lakini wapi ipo sijui episode ya kumi na ngapi nikakutana na nyengine ”Tufanye nini mimi na baba tumsamehe mama” hii hata episode 3 sikufika nilipoona neno "nitarudi"....hizi nitarudi zinakuwa nyingi nikaachana na hizo biashara.

Summarize story yako watu wasome waelewe wa kuchangia achangie wa kujifunza ajifunze wakaendelee na maisha mengine hizi habari za baadae kuja kuombana umalizie story ambazo hakuna aliyekuomba uzilete hapa zinachosha sana.
 
Hizi story mpaka zinachosha sasa,kuna moja sijui ”Yule jirani yangu wa Goba blah blah blah" nikaisoma somaaa lakini wapi ipo sijui episode ya kumi na ngapi nikakutana na nyengine ”Tufanye nini mimi na baba tumsamehe mama” hii hata episode 3 sikufika nilipoona nitarudi....nitarudi zinakuwa nyingi nikaachana na hizo biashara.

Summarize story yako watu wasome waelewe wa kuchangia achangie wa kujifunza ajifunze wakaendelee na maisha mengine hizi habari za baadae kuja kuombana umalizie story ambazo hakuna aliyekuomba uzilete hapa zinachosha sana.
Uzuri ni kwamba sio lazima usome mkuu
 
Umesema jambazi alikua anauvuta mlango kuufungua, maana yake ni kwamba huo mlango unafunguka kuelekea nje kama mlango wa gari. Ni nyumba ya aina gani hii?

Alafu inaonekana boss wako ni mtu poa sana. Maana sio kawaida shamba boy kukaa na mkewe nyumbani kwa boss.
 
Uzuri ni kwamba sio lazima usome mkuu
Naelewa mkuu.

Shida mimi nipo sana kujifunza zaidi humu so mtu anapoleta kisa mwanzo kikaonekana kama kinaweza kumtokea yeyote (kama mada mezani) hutamani chap nisome ili nijue ikija kunitokea nitatumia njia moja mbili tatu issue iwe solved.

Shida ni pale inaponilazimu niende siku sita mbele kuja kupata conclusion na bado nisiipate maana anayeandika nae mpaka atulie a-post hata ile ladha ya kufuatilia inaisha.

NB;ni maoni yangu tu sina nia kusema watu wasiwe huru ku-post wanachotaka ila kiwe basi kwa kiasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom