Ujumbe kwenye wimbo mpya wa Rosa Lee

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Ndugu zangu,

Mwanamziki wa kizazi kipya wakuitwa ROSA LEE ametoa wimbo mpya unaojulikana kama "I AM NOT FINE" ...Ndani ya wimbo huo ...Mimi nimependea mistari ifuatayo ambayo kiukweli ni ujumbe unaosikitisha sana.

Anasema:-

"Na dunia imechange muelekeo wake
Unakuta Bwanaako nae ana Bwanaake
Dah! Kudadaake!
Mungu atusamehe sana sisi waja wake"

Oya, kuleni chuma hicho!!!!!
 
images (16).jpeg
 
Huyu binti kama si msagaji basi atakuwa ni shabiki wa mapenzi ya jinsia moja. Wakati wimbi la ushoga na usagaji linarindima kuna sababu ya kuchunguza nyendo za wanamuziki na miziki wanayoimba. Kule amerika na ulaya kuna wanamuziki wakubwa duniani na ni maarufu hawaachi kuimba mashairi yaliyojaa usagaji na wengine wanajinasibu ni wapenzi wa jinsia moja. Huenda wakawa ni role model wa baadhi ya wanamuziki wetu. Huyu rosa lee ukiangalia video zake nyingi anavaa, kujifanyia make up kama mwanamuziki mmoja wa amerika ambaye nyimbo zake nyingi husifia usagaji na ushetani
 
Itakuwa Lady gaga huyo
 
Back
Top Bottom