Tamaduni music

Mr SGR

Member
Apr 8, 2021
36
16
Short thread! Wadau nimezikumbuka sana ngoma za Lunduno zilizokusanya wasanii wengi sana rappers katika movement ya Tamaduni music 2005-2015. Ngoma zao nyingi zilikuwa zinatoa darasa na kumpa mpambanaji hope kubwa katika kupambana.

Wasanii manguli kama Nikki mbishi, One the incredible, Sterio(Ukonga stand up), Songa, Gheto Ambassador, Nash MC, Shashow, maulo, Grace Matata na wasanii wengine kibao chini ya producers Duke Touchez, Mujwahuki.

Ngoma kali sana zilitoka chache kati ya hizo ni kama vile Classic material ft Fid q, Let it be, Mpaka mwisho, Incredible remix, Impecable, Kilengeni, Hisia na nyingine kibao.

Leo naomba kwa mwenye file la ngoma zote za Lunduno(Tamaduni) ashee nami au kama kuna site naweza kuzipata collection ya ngoma zao zote hao jamaa naomba mshee nami hapa kwenye huu uzi.

Kwa aliyeko Dar unaweza kunipa location tukameet ukanifyonzea haya mangoma kwa device yangu mambo yakawa mwake napatikana kwa 0757243944(Whatsapp)
(utapata posho ya supu). Hiphop is the realiness of reality- Kubanda
 
Nilikutana nae, pande za kinondoni/
Mida ya Saba mchana ilisoma saa ya mkononi/

Stendi ya daladala maarufu kama Morocco/
Me natokea Mbagala naenda pande za kinoko/

Ghafla nikastuka aliponigusa bega/
Kwa ghadhabu nilipogeuka ni yeye nikaona shega/

Ilaaa, sikuamini nilipomuona/
Kwamba ni bibi au ni msichana,mdomo haukushona/

Ikanibidi namkumbuka nilisoma nae shule ya msingi/
Ndugu hawana mpango nae,tangu alipokufa dingi/

Darasa la Saba N'na uhakika hakumaliza/
Usawa ulikaba akikumbuka inamuumiza/

Yamemsibu rafiki ukimwona huwezi kumjua/
Kachakaa hatamaniki Hana viatu anapekua/

Dhambi kumpa kidogo Hana tiba anapougua/
Shida zake tangu mdogo Sasa mtu mzima amekua/

Siku ikipita hajala inshallah Mola anajua/
Wapi usiku atalala ni msala anaomba Dua/

Anatamani kufa msalaba apate kuutua/
Kafeli kujiua,Mungu hajapenda kumchukua/

Artis: Stereo.
Song: Rafiki.
 
Mleta mada umenikumbuka mbali Sana.

Siku hizi sisikilizi tena mziki Kama zamani. Enzi hizo ilikuwa iPod yangu nimejaza nyimbo za lunduno tu.

Sauti ya jogoo,chunda bad,hisia,nitabaki juu,kijusi na nyimbo kibao.

Dah, memory back then when hip hop was my way of life.
 
Short thread! Wadau nimezikumbuka sana ngoma za Lunduno zilizokusanya wasanii wengi sana rappers katika movement ya Tamaduni music 2005-2015. Ngoma zao nyingi zilikuwa zinatoa darasa na kumpa mpambanaji hope kubwa katika kupambana. Wasanii manguli kama Nikki mbishi, One the incredible, Sterio(Ukonga stand up), Songa, Gheto Ambassador, Nash MC, Shashow, maulo, Grace Matata na wasanii wengine kibao chini ya producers Duke Touchez, Mujwahuki. Ngoma kali sana zilitoka chache kati ya hizo ni kama vile Classic material ft Fid q, Let it be, Mpaka mwisho, Incredible remix, Impecable, Kilengeni, Hisia na nyingine kibao. Leo naomba kwa mwenye file la ngoma zote za Lunduno(Tamaduni) ashee nami au kama kuna site naweza kuzipata collection ya ngoma zao zote hao jamaa naomba mshee nami hapa kwenye huu uzi. Kwa aliyeko Dar unaweza kunipa location tukameet ukanifyonzea haya mangoma kwa device yangu mambo yakawa mwake napatikana kwa 0757243944(Whatsapp)
(utapata posho ya supu). Hiphop is the realiness of reality- Kubanda
Sasa wewe unataka kufyonza nyimbo zao ma hutaki kununua kazi zao ili Ku support movement ...wasipotee kwenye game kwa kukosa support wakati tulikubaliana vitendo dhidi ya maneno?!!
 
Nilikutana nae, pande za kinondoni/
Mida ya Saba mchana ilisoma saa ya mkononi/

Stendi ya daladala maarufu kama Morocco/
Me natokea Mbagala naenda pande za kinoko/

Ghafla nikastuka aliponigusa bega/
Kwa ghadhabu nilipogeuka ni yeye nikaona shega/

Ilaaa, sikuamini nilipomuona/
Kwamba ni bibi au ni msichana,mdomo haukushona/

Ikanibidi namkumbuka nilisoma nae shule ya msingi/
Ndugu hawana mpango nae,tangu alipokufa dingi/

Darasa la Saba N'na uhakika hakumaliza/
Usawa ulikaba akikumbuka inamuumiza/

Yamemsibu rafiki ukimwona huwezi kumjua/
Kachakaa hatamaniki Hana viatu anapekua/

Dhambi kumpa kidogo Hana tiba anapougua/
Shida zake tangu mdogo Sasa mtu mzima amekua/

Siku ikipita hajala inshallah Mola anajua/
Wapi usiku atalala ni msala anaomba Dua/

Anatamani kufa msalaba apate kuutua/
Kafeli kujiua,Mungu hajapenda kumchukua/

Artis: Stereo.
Song: Rafiki.
Hatari sana hio ngoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom