Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Alipita kwenye mikono ya Kameta, akapita UPTOWN RECORDS na baadaye akaja na studio yake, COMBINATION SOUNDS. Nilianza kumsikia kwenye ngoma za msanii mmojammoja kama; Blue, Rhyno, Mb Doggy lakini...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja kati ya wimbo bora wa hip hop wa mapenzi ni huu wimbo kuanzia beat, sauti na ujumbe. Humo ndani kaimbiwa binti mmoja mkali wa kiafrika asiye na uslay queen. Endelea kupumzika kwa amani huko...
3 Reactions
0 Replies
463 Views
Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
HISTORIA YA EXTRA MUSICA SEHEMU YA II Sehemu ya pili inahusu (a) Kutoka Uimbaji wa kwaya/misibani hadi Extra musica na baadae kugawanyika (b) Nini wanafanya baada ya mgawanyiko...
6 Reactions
67 Replies
32K Views
NI SANAA AU UTELEZI? Anajulikana kama DOLLO MOSSES TMK HALISI. Nilimfahamu toka enzi za Radhia, Inahitaji roho ya chuma kuishi na watu vizuri na ngoma nyingine za Wachuja Nafaka na TMK WANAUME...
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
NDANI YA MISTARI BAD MAN - D KNOB FT CANNIBAL Mtumishi wa Bwana, Innocent Sahani aka kinundu kichafu "Dirty Knob" kwa kifupi D KNOB akiwa na Mla nyama kutoka Mombasani waliangusha dude hili...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
oyyy niaje wana duu aisee mjini fm ni habari nyini apa kunapindi cha Soggy na darboy dah aisee ni noma apa saizi kuna wana wana freestyle hatari sana alafu kubwa kuliko kuna beer za bure kabisa...
1 Reactions
1 Replies
840 Views
( 1-5 ) CHOMBEZO ❤️🔞 NITAKUPA LAKINI NIMEOLEWA SEHEMU YA 01 Anza nayo....... “Mke wangu ananipenda sana,” Tasriki alisema hivyo. “Kitu pekee ambacho unatakiwa ukiamini ni kuwa wewe unampenda...
4 Reactions
15 Replies
14K Views
Charles Hillary a.k.a Jitu Julius Nyaisanga a.k.a a Anko J Flora Nducha John Dilinga Sebastian Maganga Sostenes Ambakisye DJ Fast Eddy Misanya Bingi Asia Mohamed Hivi hawa watangazaji...
0 Reactions
89 Replies
34K Views
Ni level gani ilikutesa mpaka ukafikia hatua ya kutaka kuifuta hii game?
1 Reactions
78 Replies
6K Views
Nmejaribu sana kuangalia baadhi ya series za mataifa mengine nmejikuta nashindwa kabisa hasa za: 1. Spain 2. Mexico 3. Philippines 4. Turkey 5. Korea 6. China Hawa jamaa bado wana series za...
14 Reactions
59 Replies
9K Views
Angalia tamthilia za kituruki za Azam TV; tangu Sultan, Wounded Love na hata sasa Ertugrul utagundua kitu kimoja tu. Kwamba tamthilia hizi ni simulizi za historia ya nchi yao ya Uturuki...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
• Mejja - Landlord Kwenye hili song kutoka 254 hakuna chochote kinacho endana na story.. Ila kwa kuwa nimeisikia kwa dereva bajaji hapa basi imenikumbusha 2015. Experience ya kupanga kwa nyumba...
1 Reactions
5 Replies
822 Views
NAJILIPUA NI kweli ni trend- setter na alitengeneza top ten lakini kwa upande wangu, midundo mitano ninayoielewa zaidi kutoka kwake ni hii; 1. MTOTO WA KIUME - GEEZ MABOVU Dundo linaanza...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello,hope you are courageously going about through your daily activities.For those going through a bit of a patch,well I'm here to invite you to travel with me through extraordinary good music...
1 Reactions
1 Replies
851 Views
Habari, Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Luanda, Angola Shiny I - E ndege na
0 Reactions
0 Replies
537 Views
ONYESHO DOGO KUTOKA TAMTHILYA INAYOITWA "WE ARE ONE", by Tanzanian British. It is just After THE AFRICAN KING ASKED THE MISSIONARY FROM BRITAIN,WHAT DOES SLAVE MEAN!? CHECK IT please.- MISSIONARY...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Habari zenu. Ndugu zangu yoyote aliye na Series ya Game of Thrones Season 1-8 HD naomba nitakulipa. Nipo Dsm
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom