Msanii huyo kutoka #Nigeria, ameendelea kuweka rekodi Kimataifa kupitia ngoma hiyo aliyomshirikisha #SelenaGomez akikaa kileleni kwa wiki 27 katika wiki 50. Kati ya ngoma 50, hakuna msanii yeyote...
Ni asubuhi na mapema. Unaamka na kijiandaa kuelekea kazini kwako.
Baada ya kumaliza kujiandaa, unavaa viatu kuelekea kazini kwako.
Mara ghafla simu inaita,
Unapokea simu ambayo imeingia kwa namba...
ALITAKA KUNIUA
Nilikuwa nimekaa chumbani hostel kipindi hicho nasoma chuo mwaka wa pili. Nikapigiwa simu na mama akiwa na furaha kubwa sanaaa. Akaniambia kama ninaweza kwenda nyumbani kwa wiki...
1. Marquese Scott
Huyu ni mmarekani alizaliwa mwaka 1981 November anayecheza dance aina ya Dubstep, popping pamoja na style ya slow motion.
Ameisha perform katika stages kubwa kama Ellen shows...
UPDATE: nimefanikiwa kumpata huyo mrembo Queen Clouds , thanx to John Dilinga , huyu dada alikua dancer miaka ya late 80's and early 90's , enzi hizo ni kuna gazeti la Mfanyakazi ndilo...
TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI
ENZI ZA UTOTO - SONGA
NIKIRI wazi kuwa miongoni mwa "madundo" ya maana kabisa aliyoyasuka DUKE ambayo sikuyataja kwenye orodha yangu, basi hili limo pia.
Turudi...
Sawa, hauna video, lakini hata kwenye redio haukuchezwa pia
(a) Ni kwamba wamiliki wa redio zetu pamoja na watangazaji wao hawana uhakika na uhuru wa vyombo vya habari walionao?
(b) Au ndo...
Usiku wa Jumamosi ya tarehe 29 mwezi Aprili ulikuwa usiku wa kutolewa tuzo za Muziki Tanzania zilizoandaliwa na kuratibiwa na Wizara inayohusika na Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Baraza la...
TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI?
STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION)
Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana.
Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh...
Targeted Risk is a Strangers & Freaks side mission in Grand Theft Auto V given by Dom Beasley, involving protagonist Franklin Clinton. It's the 3° mission for Dom Beasley, after the Liquidity Risk...
Assalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha ili tushirikiane katika fursa hii ambayo, bila shaka ni njia mojawapo ya kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi miongoni mwetu.
Kama unadhani...
Naamka asubuhi, sina hata buku shi ndala
Cha kukila sijui, bora hata pa kulala
Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala
Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara
Eh kwachakwacha, nakwenda...
NILINUSURIKA KUCHOMWA MOTO 1
Nilikuwa nimekaa zangu sina hili wala lile, mara simu ikaingia kutoka kwa rafik yangu, akanimbia leo unaonaje tukachek mechi pale uwanjani? Nikamwambia sina uhakika...
MOYO UNA MENGI.
Kiukweli ni mapito haya napitia
Moyo umeshindwa hauwezi kutulia
Mbona kutamka nafusi yanizuia
Nimeyabeba mengi ya huzuni moyoni.
Natamani kusema na kuyasimulia
Lakini sijui nani...
Wakuu hii ndo list ya movie zakutisha, kusumbua, mazombi, mauaji, kutesa nk
[emoji419]Trauma
[emoji419]The human centipede
[emoji419]Atrocious
[emoji419]A Serbian film
[emoji419]Terrifier...
UMASIKINI NI DHIKI,
Umasikini ni dhiki, kila siku mashakani,
Na tena hathaminiki, mtu kuwa masikini,
Fukara hana rafiki, humtenga majirani,
Ni dhiki umasikini, Umasikini ni dhiki..
Ukiwa hauna...
Mtunzi ni CK Allan
Madam President
Juni 1998
Ilikua jioni nzuri kabisa ambapo sehemu mbali mbali za jiji la Tanga Kuna Hali ya baridi na mvua nyepesi zilikua zimeanza, nikiwa na Rafiki yangu Jacob...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.