Unamkumbuka 'Man Walter'

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Alipita kwenye mikono ya Kameta, akapita UPTOWN RECORDS na baadaye akaja na studio yake, COMBINATION SOUNDS.

Nilianza kumsikia kwenye ngoma za msanii mmojammoja kama; Blue, Rhyno, Mb Doggy lakini kwa ukubwa zaidi, nilimfahamia kwenye midundo aliyomtengenezea ndugu yake, Nemo Mpute hapo ndipo nilipoufahamu ubaya wa Walter.

Masikio ya wengi yalimfahamu baadaye alipoanza kufanya kazi na Abbas Kinzasa wa Kimanzichana " 20%" aliyetutambulishia majina kama MAN MAJI na KOMBINENGA mpaka kukwapua tuzo za Kili, kununiana kisa Walter kuirudia beat aliyompigia 20 na kumpa Bonny MWAITEGHE kwenye wimbo wa NJOO UFANYIWE MAOMBI, hadi kutoleana vijembe na kutungiana nyimbo za mafumbo.

Walter akaja na Steve RnB na kufanya ngoma kali pamoja lakini wakaja wakazinguana pia.

Nilipokuwa naingia kukata tiketi pale Kivukoni nilimwona kwenye ndinga yake mwaka 2020 lakini nikaona nishai kubonga naye maana alipandisha vioo, sawa na nilivyoona soo kubonga na Bizman nilipomwona mitaa ya Mwalimu House, Ilala.

Walter ni mbaya sana lakini kwa upande wangu nilipenda sana chemistry yake na NEMO kuliko wasanii wengine.

Walter ameimba pia kwenye ngoma kama NIPENDE KAMA NILIVYO ya Blue, alirekodia riddim beat aliyorekodia Steve RnB, JAMBO JAMBO lakini pia alifanya ngoma kamili inayoitwa TENDA WEMA.
Walter pia ametengeneza ngoma kibao za dini.
NGOMA ZILIZOSUKWA NA MAN WALTER;
1. NATAMANI - MSAMIATI FT NEMO
2. NISAMEHE - NEMO FT ZILLA, BEN POL
3. SAGAPLASHA - MB DOG FT MADEE
4. MAPENZI KITU GANI - MB DOG FT CHELEA MAN
5. BILA WEWE - BLACK RHYNO FT Q CHILA
6. UMEBADILIKA - YOUNG KILLER FT BANANA
7. MWANA - ALLY KIBA
8. TUNAPENDANA - BABY BOY FT STEVE RNB
9. TUFURAHI - BABY BOY FT STEVE
10. TABASAMU - MR BLUE FT STEVE RNB, Q CHILA
11. UKO MBALI - SALVI FT NEMO
12. MY NUMBER ONE- NEMO FT OMMY DIMPOZ
13. VUMILIA - NEMO
14. HISTORIA - JIDE
15. YAHAYA - JIDE
16. JOTO HASIRA- JIDE
17. JOTO HASIRA RMX -JIDE FT NIKKI, ONE, SONGA, MKOLONI
18. MSICHOKE - JIDE
19. NJIWA - JIDE
2O. SI MWEMA - 20
21. TAMAA MBAYA - 20
22. ULINITOSA - 20 FT INNO B, WHITNEY
23. YA NINI MALUMBANO - 20
24. BACHELOR - SQUEEZER FT OMMY DIMPOZ
25. TALAKA- MAUNDA, NEY
26. MBOGA SABA - BLUE FT KIBA
27. DUSHELELE - KIBA
28. MVUMO WA RADI - KIBA
29. WANJERA - OMMY DIMPOZ
30. RADIO - STEVE
31. USINIHUKUMU - STEVE FT MAUNDA
32. JAMBO JAMBO - STEVE
33. WANASEMA - BWANA MISOSI FT DULLY
34. NISIKILIZE MOYO WANGU - AINEA
35. WALEWALE - RUBY
36. UMOJA NI NGUVU - TONYA FT CHRISTIAN BELLA
37. UMASKINI - IGOSH
38. INAKATISHA TAMAA - TABLA FT BEN POL
39. NDEGE TUNDUNI- WANAUME HALISI
40. NDIVYO NILIVYO - RICH ONE FT NATURE, INSPEKTA
41. NDOA HAINA DOA - INSPEKTA
42. HAKUNA KUREMBA - INSPEKTA FT NATURE
43. NJOO UFANYIWE MAOMBI - BONNY MWAITEGHE
Sikiliza hizo ngoma kwenye kumi bora hapo lakini kwa herufi kubwa, ITAFUTE

HIYO NAMBA MOJA, USIKIE TONGUE TWIST ILIYOOANA NA RnB
Halafu sikiliza hiyo namba mbili usikie namna mafundi wa RnB wanavyooneshana maujuzi wakichanganya na flow ya Zilla.

LUAH.
MWANDISHI WA AINA YAKE.
 
Salute kwake. Pia salute kwa mwandishi, kwa kuappreciate kazi za jamaa. Na kuwa na full info kumuhusu 👊
 
Bado anaendelea na kazi hii?
 
Tuletee na ya Mika mwamba ukianza ile beat ya Balozi-kwenye chart
 
Namba 11 uyo dogo Salvi Manyika alikua ana represent kipande cha Swax (Sumbawanga) ila saivi naona kama mziki umempita kushoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom