Na hasa ukiicheza online through FB ukaona jinsi unavyoshindana na FB Friends zakoPole sana mkuu... Ina utamu wake tena sana hasa ukiilewa
Mi nimekwamia level 266Ni level gani ilikutesa mpaka ukafikia hatua ya kutaka kuifuta hii game?
Uwiiiiiiiii mimi hata level 100 sikufika na nikaifuta.Mi nimekwamia level 266
Hilo game niliachana nalo mana lilikuwa linanipotezea muda kichizi. Nilikuwa kama teja. Nashkuru nilifanikiwa kusema na moyo wangu nikali unstallPole sana mkuu... Ina utamu wake tena sana hasa ukiilewa
Ukii download upya utaendelea palepale ulipoishia mwanzo kama ulikua ukicheza "online"Uwiiiiiiiii mimi hata level 100 sikufika na nikaifuta.
Siku hizi hata muda wa kucheza game sina
Tumefuta hilo mkuu, sasa tunacheza Narcos.Ni level gani ilikutesa mpaka ukafikia hatua ya kutaka kuifuta hii game?
Lina mwish kweli?Nataka nifike hadi mwisho