Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,148
( 1-5 )
CHOMBEZO ❤️🔞
NITAKUPA LAKINI NIMEOLEWA
SEHEMU YA 01
Anza nayo.......
“Mke wangu ananipenda sana,” Tasriki alisema hivyo.
“Kitu pekee
ambacho unatakiwa
ukiamini ni kuwa wewe unampenda mkeo, unaujua ukweli wa moyo wako tu na sio wa mtu mwingine,” Jose alimjibu.
“Ananijali, ananiheshimu, kila muda
haachi kunijulia hali, anawapenda ndugu zangu, kweli kaka unataka kuniambia itafika siku atanisaliti?”
“Nakukumbusha tu kuwa, ukianza kuwaza kuwa mkeo hawezi kukusaliti ujue
umeanza kufikiria kwa kuongozwa na hisia,”
“Yaani nyumbani kwangu napaona kama mbinguni, kwanza mzuri, sijawahi kumchoka, vingine mpaka nasita kuvitangaza, Mungu
amuweke hai mke wangu,’
“Mimi pia nakuombea sana ndugu yangu ila nikushauri kitu,”
“Niambie,”
“Mkeo sio malaika, naye hukosea kumbuka hilo, pia mkeo kabla ya wewe alikuwa na watu wengine, kikubwa ni kuvumiliana na kujazia pale alipopungua mwenzio,”
“Nashukuru sana ndugu yangu,”
“Sawa, na kwanini umeamua kufikiria hivyo?”
“Naona ndoa
nyingi zinavunjika kwa sababu ya usaliti,”
“Hilo likufunze jambo lakini zipo zinazo dumu na hawasalitiani”
“Kama mimi”
“Yaani unavyojiamini, naomba Mungu iwe hivyo,”
“Sasa unafikiri mke wangu anaweza akapumuliwa na mwanaume mwingine?”
“Siwezi kusema anaweza, ila usiseme hawezi, hii dunia haina mbingu mpaka wapatikane watu waliokamilika,”
“Ila ndugu yangu inabidi uoe, uchague
mwanamke mzuri kama shemeji yako, utafurahia maisha, kwanza huyo ananipigia,”
📞Hello kipenzi cha moyo wangu”
📞Mume wangu nimekumisi sana, kazi zinaendaje?”
📞Salama
kabisa,
sijui
wewe unaendeleaje nahali,”
📞Niko salama kabisa,”
📞Nakupenda mno,”
📞Hunishindi mimi…”
SEHEMU 02
Baada ya Tasriki kuzungumza na mkewe, alianza kuelezea jinsi alivyo na furaha na mkewe, Jose alimuunga mkono huku akimuonea huruma siku yakimkuta mambo.
Tasriki na Jose walikuwa ni marafiki
waliokutanishwa na kazi zao, wote wawili walikuwa wakimiliki maduka makubwa ya ‘Spea’ za magari na pikipiki. Walikuwa wakishauriana mambo mengi japo Jose bado alikuwa hajaoa.
Tukirudi huku upande wa mke wa
Tasriki aliyeitwa Nana, ni kweli alikuwa mzuri sana, mzuri na alishawishi kweli, ungeweza kumshangaa jinsi Tasriki alivyo na furaha lakini ukimtazama mkewe utagundua sababu ya kujivunia alikuwa nayo.
Nana alikuwa ni mrefu, rangi ya maji ya kunde, dimpo kwa mbali zilichungulia, alivutia usoni mpaka umbo lake, moja kati ya vitu alivyokuwa akizingatia ni mlo kamili tena ule unaolenga kulinda mwili wake, alijijua kuwa
ana umbo zuri na hakuhitaji liharibike.
Siku hiyo akiwa nyumbani alipokea simu kutoka kwa rafiki yake aliyeitwa Spora, walisalimiana kama kawaida na kupeana umbea mdogo mdogo ambao hupeana kila wakiongea, Spora ndiye aliyekuwa rafiki mkubwa sana wa Nana, alizijua siri zake nyingi sana tangu wakiwa sekondari, mpaka chuo
walisoma kimoja, ni marafiki walioshibana mno.
“Sasa shosti yangu kuna taarifa imekuja hapa, Travo anaumwa tunaenda kumuona,
utaenda?”
“Hivi kwa alivyonifanyia bado niwe na
moyo wa kumuona?”
“Unanisindikiza tu, tunakwenda na shemeji yako,”
“Na mume wangu nimwachie nani?”
“Kwani hospitali tunatumia dakika ngapi? Mimi pia nina kazi zangu, tunakwenda
kumuona saa kumi kamili, tunakaa pale dakika tano tu,”
“Unaenda na gari?”
“Ndiyo, na tutakurudisha
mpaka
nyumbani,”
“Sawa ila sitoingia huko ndani,”
“Sawa.”
SEHEMU 03
Basi Nana alijiandaa kisha akapitiwa na gari la kina Spora aliyekuwa na mume wake.
Mpaka hospitali walifika, Nana alibaki nje ya chumba cha wodi aliyolazwa Travo.
Nana kumbukumbu zilimtesa sana, alikumbuka siku moja alivyokuwa amelazwa, mtu pekee aliyekuwa pembeni yake ni Travo, alimhudumia mpaka alipopata nafuu na kurudi naye nyumbani, aliyakumbuka hayo na kujawa na moyo wa huruma, alipoanza kupiga hatua za taratibu kuuelekea mlango wa wodi,
alimuona mwanamke ambaye ndiye alimfumania na Travo kipindi hicho wako chuo.
“Afadhali nimekuona, najua utakuwa na hasira feki sana na mimi,”
“Hasira feki! Kwanza sasa hivi nina ndoa yangu, sijali tena, endeleeni tu,”
“Masikini! Ukiujua ukweli, sasa hivi utakwenda kumpigia magoti yule mwanaume,”
“Ukweli gani?”
“Siku ile nilitumwa kuja kuvuruga mapenzi yenu, hakuna hata tulichofanya na Travo, sikuwa na hela za kumalizia kulipa ada, Doni ndiye aliusuka mpango wote mwanzo mpaka mwisho,”
“Unasemaje?”
“Hivyo ndivyo ilivyokuwa, mazingira yote yalitengenezwa, kuanzia jumbe kwenye simu yake, na barua pepe zake, zote tulitengeneza,
Doni alikuwa anakupenda sana lakini ndio hivyo hakukupata hata ulipoachana na Travo,”
“Doni! Na mbona wote mlikuwa kama mlivyozaliwa?”
“Nilimpa kilevi Travo, akalewa ndio nikapata nafasi ya kukusubiri wewe utuone, na pale palikuwa na watu walioandaliwa kwa ajili ya kunilinda kama ungeanzisha ugomvi, nilifanya ile kazi katika mazingira ya hatari sana, naomba unisamehe Nana.”
Nana aliposikia hivyo alimnasa kibao huyo mwanamke aliyeitwa Nanjara, alilia sana, Nanjara
akamuonyesha
mpaka
jumbe walizokuwa wakitumiana na Doni.
“Najua Travo amelazwa hapa, imekuwa
bahati nimekutana naye lakini amekataa kupokea msamaha wangu, amesema wewe ndiye maisha yake na nikitaka anisamehe basi nikurudishe kwake,”
“Wewenizaidiyashetani…”
Nana aliondoka bila hata kuaga, alifika
nyumbani na kuanza kulia. Ilimtesa sana kuona alifanya maamuzi kwa hasira.
SEHEMU 04
************
Baada ya wiki akaitafuta namba ya simu ya Travo, alijishauri sana, zilipita wiki kama tatu akiwa
anajishauri kumtafuta Travo, alipoiangalia namba hiyo katika mtandao
‘wa WhatsApp’ alishtuka kuona Travo akiwa ameiweka picha waliyopiga pamoja kwenye
profile yake.
Akaanza kukumbuka mazingira ya hiyo picha na yeye ndiye aliyeshika simu siku hiyo, ilikuwa ni baada ya kutombwa,
tena siku hiyo alinyonywa mno **** yake mpaka akakojoa, ilikuwa ndiyo siku ya kwanza kunyonywa **** yake, huku juu wote walivalia nguo lakini chini hawakuvaa chochote, kwa vile picha iliwaonyesha kuanzia kifuani hivyo
wahusika pekee ndio walijua ukweli.
Aliposoma maneno yaliyoandikwa chini yalikua yakisomeka.
“Leo umeniamulia nini Simba wangu?”
Ilikuwa
ni kauli aliyoitoa Nana baada ya kukojoleshwa kwa kunyonywa tu kabla hata ya kutombwa.
Vyote alivikumbuka, roho
ilimuuma sana, aliishika simu yake na kutaka kumpigia, kuna roho ilimwambia aache kabisa hayo mambo lakini upande mwingine ambao
ulionekana kushindwa ulimtuma amtafute
Travo.
Akajikuta
amempigia Travo bila kuwasiliana na akili yake. Simu ikaita, ikapokelewa, Travo aliongea lakini Nana alitulia kimya.
Baadaye akatoa sauti,
"Travo!"
"Mdoli wangu!"
Alipoita jina hilo, Nana alicheka maana alikuwa halipendi mno.
"Uko poa?"
"Kuanzia sasa nitakuwa poa, unajua sauti
yako kwangu ni dawa”
"Mimi mke wa mtu ujue,"
"Najua."
Basi waliongea mengi huku wote wawili wakionyesha kukumbukana sana. Ikapangwa siku ambayo Nana ndio alikwenda kwa Travo kumjuilia hali. Aliutumia mwanya wa mume
wake kwenda kazini.
Nana aliwasili nyumbani kwa Travo, ilikuwa ni nyumba nzuri sana, Travo hakuwa
mgonjwa tena ila alideka.
Waliosema mtalaka hatongozwi hawakukosea, na na kuongezea jengine, mahali ulipopita vizuri wala huhitaji nguvu kubwa kupita tena.
"Mdoli wangu mbona upo hivyo?" Alihoji Travo.
SEHEMU 05
"Nipoje?"
"Haujatumika kabisa,"
"Nikitumika nakuaje?"
"Naomba umsemee mumeo kwangu,"
"Nimsemee nini?"
"Msemee chochote mimi nikamtandike ngumi,"
"Wee! Utanioa wewe au?"
"Nikuoe mara ngapi?Umesahau au?"
"Toka huko!”
Basi Travo alikwenda mlangoni kisha akafunga mlango,
"Travo, nimeolewa!"
"Najua,"
"Mbona unafunga mlango?"
"Kweli unataka nikukumbushe nilipokuwa nikifunga mlango nini kilifuata?"
"Travo nitapiga kelele!"
Travo alipofunga mlango, funguo
aliiweka kwenye mfuko wa suruali yake.
Wakaanza kuzungushana hapo sebleni,
mwishowe Nana alikamatwa, akakumbatiwa
kwa nyuma.
"Najua hujawahi kurusha maji, najua hujawahi kunyonywa, najua hujawahi kufika kileleni, naongea uwongo?" Travo alimuongelea
sikioni Nana, maana alijua vizuri Nana alikuwa dhaifu upande huo na kitovuni, pia kwenye chuchu zake lakini kubwa zaidi ni ulimi, akinyonywa
huwa na hali mbaya sana.
"Travo lakini nina ndoa yangu," alijitetea
Nana
"Najua Nana, aaah..."
Travo alipoingiza ulimi wake kwa
mbinde kwenye sikio, Nana alitulia kama ananong'onezwa na mama mkwe.
ITAENDELEA........
Naam ndio mkasa ulivyoanza hivyo, tuwe pamoja katika kisa chetu kifupi ambacho kina mafunzo ndani yake. Hawara hana talaka, wangapi wameingia kwenye ndoa sbb ya hasira zao tu za kugombana na wapenzi wao na sio kwa ajili ya kitulizano?