Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ni muda mwingine tena salaam, Kwa kweli sina hamu ya kuangalia local channels maana hawana mpangilio wa vipindi ili kumvutia mtazamaji zaidi huwa naangalia taarifa ya habari saa mbili, bbc...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
SUPA 5 FROM PAPA LOVE MAWINGU RECORDS ni nyumba ya heshima ambayo ilisanifiwa vyema na Boniphace Kilosa, mchonga njia wa muziki huu. Kagusa mikono mingi sana lakini kwa upande wangu, hii mikono...
0 Reactions
5 Replies
878 Views
Wataalamu wa Mambo tuimbie Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Yeap, Umesoma sahihi, Ni buree! Ndio najua unajiuliza, “hii inawezekanaje?“ Ngoja nkwambie sasa, of course kuna a catch, Inabidi ujiunge na Publication inaitwa “Cinemalitics” Link hii...
0 Reactions
9 Replies
670 Views
Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa. Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali.. Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao.. hata...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
1 Reactions
0 Replies
1K Views
************************************************ Sehemu Ya Kwanza (1) Upepo na jua ni mahasimu wa toka zamani, mara nyingi ubishani wao wa kutaka kujionyesha yupi ni bora kuliko mwenzie, ndio...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Hello JamiiForums, Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza...
0 Reactions
2 Replies
504 Views
Habari wana jukwaa, Nime attach track yangu, naomba kuambiwa pa kurekebisha, nilikopatia. Nlipoharibu kabisa. Style yangu ni EDM ie Electronic Dance Music, Sub Genre: Melodic Bass. Natumia FL...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni baada ya maneno mengi ya mipasho kutoka kwa muimba taarabu iliyochangamka a.k.a young lunya au mbuzi Kama anavyojiita yeye kwenda kwa young killer msodoki. Naona this time around killer...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu nakuja tena kwenu nikiwa nimechoka sana. Ngoja ninywe hata juice nipate nguvu ya kuwasimulia yaliyonikuta na yanayoendelea kunikuta. Ilikuwa mwaka jana mwezi wa 11 nilipokutana na mwanamke...
12 Reactions
140 Replies
15K Views
Wapenzi wa siries, Katika kufuatilia kwangu siries hakuna na sijaona yenye stori nzuri kama jumong, si game of throne, Breaking bad Giant 24 Iris wala walking dead ambazo zimekuwa zinasifiwa sana...
8 Reactions
79 Replies
5K Views
Yeap, Umesoma sahihi, Ni buree! Ndio najua unajiuliza, “hii inawezekanaje?“ Ngoja nkwambie sasa, of course kuna a catch Inabidi ujiunge na Publication inaitwa “Cinemalitics” Link hii hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka ya Nyuma katika kutangatanga siku hapo lang'ata Kinondoni. Hawa Fm na Nyoshi anaimba hadija wako pale. Nikamuona binti mmoja kakaa pembeni kajiinamia ni mzuri kweli. Ndio Giselle. Namuuliza...
3 Reactions
9 Replies
714 Views
Nimejadili sababu za kibiashara na za kisayansi ya akili na saikolojia ya binadamu. Pamoja na ombi hili naomba kukiri nimeanzisha thread hii kutokana na mjadala nilio taja awali. Nimejaribu pia...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
SALAAM...! Natumai muwazima kabisa. Well...! Clouds FM (CMG) ni Radio iliyoleta mapinduzi katika huu muziki wa kizazi kipya na hata miziki mingine, tangu ilivyosemwa kuwa muziki wa Bongo Flavor...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Leo ni siku ya kiswahili duniani. Maktaba app ingependa tuanze kusomea moja ya kitabu kipatikanacho ndani ya Maktaba app. whatsapp 0715278384. UTANGULIZI 12 Nokora mpumbavu Hali ya Mtumwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe movies moja tamu isiyochosha kuifuatilia ili iweze kunichangamshia siku yangu. Tafadhali iwe ya kihindi, na pia iwe kali ya kibabe haswa.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
It's been a damn long time kiunga hiki, hope mko poa nyote, karibuni tena uwanjani hapa tupendekezeane filamu nzuri za kutazama katika kipindi hiki cha weekend, na hivi mvua inanyesha ukikaa zako...
37 Reactions
153 Replies
16K Views
Back
Top Bottom