Futuhi,Star tv kuna nini mbona sielewi?

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,560
8,638
Ni muda mwingine tena salaam,

Kwa kweli sina hamu ya kuangalia local channels maana hawana mpangilio wa vipindi ili kumvutia mtazamaji zaidi huwa naangalia taarifa ya habari saa mbili, bbc swahili saa tatu na vipindi vya comedy hapo (bongo movies) unikamata.

Sasa kuanzia huu mwaka umeanza kipindi kimoja wapo cha comedy futuhi hawakuwepo hewani (nahisi mkataba uliisha). ila hivi karibuni walitangaza wamerudi na ratiba ikatolewa, Jumamosi saa 7:30 marudio saa 4:00 asubuhi.

Tatizo limeanzia wiki iliyopita nilikuwa busy weekend nikamic,leo mapema nimetega na alarm saa 7:30 mchana, patupu, nikasema huwenda wamepitiwa saa 8:00 mchana hakuna kitu,nikasema labda badala ya saa 7:00 mchana walikosea ngoja nisubilie saa 7:00 jioni ndipo naona hakuna kabisaa...

Jamani kuna nini au nimekosea ratiba maana napenda kucheka tu, maisha yenyewe ndiyo haya haya, raha najipa mwenyewe...
 
Mbona leo wameonyesha.. mida ya saa 10 au 11... Nimeona.. japo mm sio mpenzi wa hayo maigizo
 
Back
Top Bottom