babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,118
- 20,529
Miaka ya Nyuma katika kutangatanga siku hapo lang'ata Kinondoni.
Hawa Fm na Nyoshi anaimba hadija wako pale.
Nikamuona binti mmoja kakaa pembeni kajiinamia ni mzuri kweli.
Ndio Giselle.
Namuuliza we vp huzuni huzuni tuko kwe starehe twende tukacheze.
Akasema siwezi kaka,
Kwanini?
Ikabidi kukaa naye kumsikiliza.
Ananiambia ana risasi mguu unaoza alipigwa huko RDC alienda likizo kipindi hicho vita iko moto.
Kumwangalia aisee kweli kuna bonge la kidonda.
Ndio kusema ye mcheza show wa bendi hiyo jukwaani fm musica ila hawezi kucheza wamemtosa.
Aisee nilisikia huruma sana
Nilisaidia ninavyoweza bila kumuuliza chochote akatibiwa akapona.
Aisee akawa kanifanya babaake.
Kila leo huyo,hawa wote wacongo hapo kuanzia king dodo labouche,Nyoshi,yule rapa Diamond musica nimemsahau walikua wote wanasukwa nywele naye.
Na kula wanakuja rundo
Pale kula pondu na samaki.
Wakati wa shida walimuacha.
Mi nawaangalia tu
Yule binti alitoboa akawa na saloon kubwa tu hapo stereo kino kabla huo utitiri wa maduka ya nguo.
Aisee kuna wanawake vinganganizi.
Siku nasema mi nna bibi yangu tuishie hapa duh,
Akawa anakuja kila siku getini analiaaa anaondoka
Anasema baba yangu unaniacha🥲.
Nimekumbuka baada ya kuona hiyo video ya ferre golla👇
Huyo anayecheza kushoto kwa ferre ni Giselle kabisa.
Wamefanana sana