Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Tazama video hiyo ambayo itaonyesha huduma nikiwa Nzega Tabora. Kwa sasa napatikana Der es salaam.
1 Reactions
6 Replies
743 Views
SEHEMU YA KWANZA Ushuhuda huu una sehemu 13, sehemu zote utazipata humu humu jamii forumu kila siku, tutakuwa na sehemu moja mpaka tutakapoumaliza ushuhuda hu Karibuni Sana! Marafiki wapendwa...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Huyu mwanadada Libianca ni mwanamuziki wa Cameroon, na mwaka huu ametoa wimbo uitwao PEOPLE. Binafsi nimeusikiliza mara kadhaa na kutambua kwamba huyu dada ana kipaji kikubwa mno cha uandishi na...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Shalom Shalom wapendwa. Ninamaandalizi ya tamasha la uzinduzi wa Albam ya video Mpya. Tamasha linafanyika Mkoani Tabora Nawakaribisha sana kusapoti maandalizi poa karibuni sana ndugu zangu 24...
1 Reactions
4 Replies
404 Views
Picha hizi siukumbusho tu lakini nikwamba Mungu ametuonekania tukiwa Kenya kwenye huduma. Picha na Mtumishi Robert Masai.
1 Reactions
2 Replies
491 Views
Aron Mvembezi Ft Yohana Anthony - Yupo Mungu wa kweli. Ni wimbo wenye matokeo makubwa ya nguvu ya Mungu. Ukisikiliza Nikama umefanya maombi ama imeombwa. Kama huamini hemu utazame na usikilize.
1 Reactions
1 Replies
403 Views
https://youtu.be/OJ_c-kqEd4k?si=CkRnIwDNNegB_gm6
1 Reactions
0 Replies
398 Views
Pasaka njema kwa wakristo wote, naomba niwape kisa hiki cha ukweli kilichotokea kusini mwa Tanzania mkoa x katika nyumba moja ya Bibi mstaafu. Jinsi nilivyo muonekano wangu, sio mfupi sana wala...
24 Reactions
129 Replies
20K Views
Kulikuwa na kijana mmoja aliitwa Prince, alikuwa ni bodaboda aliyekuwa jirani yetu, tulikuwa tunamwamini na hata kumpa baadhi ya mizigo yetu ya msingi atupelekee mahali tulipotaka ifike. Huu ni...
10 Reactions
133 Replies
16K Views
Nimeukuta mtandaoni. Uusikilize mwenyewe!
1 Reactions
1 Replies
733 Views
𝙒𝙄𝙈𝘽𝙊: BOKOLO BANA YA MBANDA NAYO MALAMU {𝙬𝙖𝙡𝙚𝙚 𝙫𝙞𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙬𝙖𝙩𝙤𝙩𝙤 𝙬𝙖 𝙢𝙠𝙚 𝙢𝙬𝙚𝙣𝙯𝙞𝙤 } 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄: 𝐅𝐫𝐚𝐧𝐜𝐨 𝐋𝐮𝐚𝐦𝐛𝐨 &𝐓𝐏𝐎𝐊 𝐉𝐚𝐳𝐳 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄: 𝑚𝑘𝑎𝑛𝑑𝑎𝑟𝑎𝑠𝑖 ^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ 𝙆𝙞𝙨𝙖 𝙘𝙝𝙖 𝙬𝙞𝙢𝙗𝙤 𝙝𝙪𝙪...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
FATED TO DIE (MWENYE HATMA YA KUFA) SEHEMU YA 01 “Baby, mambo ni mengi nashindwa hata kutulia” aliongea Salome akiwa ameshikilia simu yake, yalikuwa majira ya usiku na alikuwa akiongea na mpenzi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Application gani nzuri kwa ku download Movies za Action
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao na baadhi ya viongozi wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Unaingia kwenye show unazurura uwanjani ukivimba kuonyesha ufalme wako. Kwanini usituonyeshe ufalme wako kwenye kazi yako. Mwisho wa siku ikawa ni makelele na uchawa mwingi.. Yaani huyu msanii...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni muda sasa, natumai mpo poa wazee. Nimewakumbuka kweli na basi nilipopata muda kidogo wa kuandika, nikaona niwasalimu kwa Riwaya hii nzima na ya kijasusi ya NYUMA YAKO. Nikiri kwamba muda...
10 Reactions
324 Replies
82K Views
Wakuu GT Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Niliinunua CDya huyu dada mara ya mwisho kama miaka 10 iliyopita (ilikua 2013) kwa sababu nilivutiwa sana na nyimbo zake. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Ripoti zinaeleza kuwa risasi zilizokutwa nyumbani kwa mtuhumiwa wa mauaji ya Rappa TUPAC Keefe D hazifanani na maganda ya risasi zilizokutwa eneo la tukio alipopigwa risasi Tupac mwaka 1996. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom