Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nyota zote za angani, zimulike pendo lake Ndege wote wa nyikani, waliimbe jina lake Vipepeo wa kondeni, wasifu uzuri wake Kanifumbata rohoni, mimi kinda mbele yake Mbingu zitamuangaza, maisha...
1 Reactions
6 Replies
758 Views
Hawa jamaa wamejitoa mhanga haswa maana kwa Africa ukiwa mkweli wewe ni adui. Hawa jamaa wamekuwa wakweli sana katika kufumua maovu na uchafu unaifanywa na hawa wachumia tumbo. Hio ndio maana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu ni uzi wa mashari ya nyimbo za zamani zilizoimbwa na bendi za hapa nyumbani na zikapendwa sana na mpaka sasa zinapendwa. Karibuni tujumuike
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sijui nitaupataje. Unaimbwa na kwaya za kilutheri. Haya ni baadhi ya maneno: "Imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....mimi na wewe leo wazima, hiyo ni neema...wenzetu hawapo wamekosa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za muda Huu wanajamvi Kuna Nyimbo Jina na mwimbaji nimeisahau ni ya muda Kidogo video inaponyesha jamaa na mpenzi wake wameshika mtutu wa bunduki (AK 47) then jamaa anarap ni bonge Moja...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
WAKUU Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari nahitaji hizi sebene aliyekuwa nazo anitumie ya kwanza kisanola ya koffi olomide ya pili ulaya ulaya ya twanga pepeta naomba kuwasilisha
0 Reactions
1 Replies
4K Views
WIMBO: 𝙄𝘿𝘼 MWIMBAJI: 𝙁𝙍𝘼𝙉𝘾𝙊 𝘼𝙉𝘿 𝙏𝙋𝙊𝙆 𝙅𝘼𝙕𝙕 - TAFSIRI : 𝙎𝙐𝙇𝙀 𝙈𝙆𝘼𝙉𝘿𝘼𝙍𝘼𝙎𝙄 ************************* Ndenge toyokanaki ngai na yo e ndenge tolakanaki ngai na yo e Ata ko nasali mabe oh Okoki...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi...
1 Reactions
3 Replies
553 Views
Kwanza naunga mkono uwekezaji katika bandari yetu, lakini sio kwa mkataba huu, naomba kasoro zirekebishwe. Niende moja moja kwenye mada. Nimeangalia na kufuatilia series na movie nyingi za...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Naomba kufahamu naweza kupata wapi lyrics za nyimbo za kibongo hasa hizi za rap. Nyimbo ya Bagdad ft Climax bibo inaitwa waniwie radhi naweza pata wapi lyrics yake? Hiyo nyimbo wametumia beat ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwaka 2009 Abdallah Khamis(mchezaji mpya wa simba) alimaliza kidato cha nne na mdogo wangu Nkende Sec kule Tarime mjini. Kipindi hicho alikuwa anacheza ligi ya wilaya na mkoa kupitia timu ya...
1 Reactions
5 Replies
929 Views
Wakuu Tangu muziki huu ulipoanza kusikika nchini kutokea huko south Africa. Sasa imekuwa fashion kila wimbo unaotoka basi jua ni amapiano tu na tumezoea imekuwa kawaida kabisa.! Mpaka wazee nao...
1 Reactions
1 Replies
496 Views
SIMULIZI; NIFE AU NIENDE GEREZANi MTUNZI:Alli H MWANDISHI: Intelligent businessman SEHEMU YA 01 Ubaridi ulikuwa ukiingia mwilini utadhani nilikuwa nimeingia kwenye...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwenye nyimbo ya Mbosso " AMEPOTEA" Na kamtaja huyu mwamba mwana wa Rajabu, je huyu ni nani? Wenye kujua tupeni elimu
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana Mtangazaji wa TBC Taifa, Manju wa Muziki Masoud Masoud akielezea historia ya Muziki wa Tanzania, anauliza uu wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa...
0 Reactions
7 Replies
802 Views
Salaam wakuu. Jana nilikuwa msibani, kuna wimbo niliusikia melody na mashairi yake yalinivutia. Bahati mbaya nimeufuta kimakosa baada ya kurekodi. Baadhi ya maneno yake ni 'Mwamini Mungu ewe...
2 Reactions
3 Replies
994 Views
Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Anaandika KENGE, Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa movies hasa izi genre za Action,war based au millitary.Utakubaliana na kenge kwamba zinafanana sana content.Yani storyline inakua hivi...Unakuta...
12 Reactions
79 Replies
7K Views
Sehemu ya 1 Mimi ni mfanyakazi katika taasisi mojawapo iliyopo chini ya wizara ya elimu iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha (Tengeru). Makazi yangu yapo jijini Arusha. Muda mrefu nimekuwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom