Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

“Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu wao kuingilia Maneno yao ni kama ya simba Ukiyasikiliza lazima utaaminia” Mandojo & Domokaya ft Jide “Hakuonekana na Binti hakuwahi kuasi dini mfuasi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya. Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni Sinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka. Mimi binafsi movie ambayo huwa...
32 Reactions
1K Replies
160K Views
Wajuzi wa muziki eti ni kipi hasa chanzo kilichosababisha mfalme wa Rhymes Afande Sele kuimba nyimbo kali ya mkuki moyoni?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zawadi ya maneno matamu. Maalumu kwa ajili ya mwanamke bora asilia wa Kiafrika "Mama Africa", ujumbe maalumu kwenda kwa mwanamke asilia wa kiafrika, mwenye tabasamu angavu, uso wenye nuru, sauti...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Unaweza kusoma bure hadithi hii na nyingine nyingi ndani ya maktaba app(by pictuss). unaweza tembelea hii thread kwa habari zaidi...
12 Reactions
43 Replies
23K Views
Habari zenu wadau wa michezo hapa jamvini. Kama kawaida ni wiki ya kushuhudia CAF CHAMPIONS LEAGUE game za pili kwa makundi na timu zote. Kutokana na hali hiyo, kuna game 1 tu kati ya game zote...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanamziki wa kizazi kipya na mkurugenzi wa Konde gang Hamornize ameeleza mazito yaliyomfanya aondoke Wasafi ya Diamond Platinumuz. Hamornize amesema ili kuondoka wasafi label ilimlazimu kulipa...
14 Reactions
38 Replies
5K Views
KESI YA MZEE MNYOKA 01 Mzee Mnyoka alikua na kawaida ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake, Mzee Mnyoka hakua mlevi au mchawi lakini tuseme tu hakua na mazoea ya kurudi nyumbani mapema. Siku ya...
20 Reactions
231 Replies
37K Views
Binafsi naupongeza uongozi wa TBC Fm kwa kutaka kubalisha vipindi vya Redio vitakavyovutia wasilizaji wapya, hasa ukichukulia TBC Fm inawasikiliza wa rika lolote lakini vijana ndio wanasikiliza...
0 Reactions
3 Replies
789 Views
Dstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league...
16 Reactions
95 Replies
8K Views
Nimezunguka sana jamiiforums, reddit, yts, n.k. katika kusaka muvi kali za kucheku lakini nikaja gundua watu tumetofautiana vionjo, ushauri wa muviz upo juu juu haujaingia kwa ndani kugusa vionjo...
3 Reactions
4 Replies
718 Views
Gazeti la The Post linaripoti kwamba kamouni ya Paramount imefuta mnada wa kuiuza BET, kwa maelezo kuwa wamesikitishwa na ofa ndogo walizopokea kutoka kwa wazabuni. Bei iliyowekwa na Paramount...
3 Reactions
5 Replies
891 Views
Jamani mwenye wimbo fulani hivi unapigwa Clouds Fm unasema "nitakutumikiaa! nathibitisha kwa juhudi na nia. Kama ilivyo leo nitajaribu tena kesho nitakutumikia". Wimbo huu unanivuta kihisia sana...
4 Reactions
8 Replies
6K Views
MKASA WA KWELI KAZI YA KULINDA MAITI MOCHWARI ILIVYONISHINDA MWANDISHI: ZUBERI MARUMA Whatsupp: 0759427653 i Jina langu naitwa Joseph Matombeko ,mzaliwa wa Nairobi nchini Kenya naishi na...
25 Reactions
324 Replies
81K Views
Jf member, Let's do this for funny,for entertainment just to enjoy ourselves and those we admire,love and like. Tuweke lyrics za nyimbo mbalimbali unazozipenda itakuwa ni vizuri zaidi kama...
8 Reactions
121 Replies
18K Views
Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
https://youtu.be/2461HqUizAw?si=HDdWnPB7oW94nwvz
2 Reactions
9 Replies
881 Views
Wimbo wa ‘One Love Groove’ ni wito wa upendo, umoja na mshikamano kati ya watu. Kwa lugha nyepesi, unatuonyesha kuwa tunaweza kuishi kwa amani na kufurahia utamaduni wetu licha ya tofauti zetu...
1 Reactions
2 Replies
663 Views
Nimeamini kila eneo wana vitu vyao vinavyowapa raha na vibe la kufa mtu. Kama nyie Dar mnavibe na akina "Chino wanna man" basi huenda Shinyanga wanavibe na "Ngosha Bhudhagala". Kutana na huyu DJ...
5 Reactions
46 Replies
11K Views
Hello, JamiiForums. So nimejaribu kuunda Remix ya hii nyimbo yangu pendwa kwa 2023, Mshindi yake Appy. Please Enjoy ✌🏾 Maoni pia yanakaribishwa. https://youtu.be/01_m_sADtbA?si=vc0G7z02l3zm32SP
0 Reactions
3 Replies
695 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…