CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,009
Habari zenu wadau wa michezo hapa jamvini.
Kama kawaida ni wiki ya kushuhudia CAF CHAMPIONS LEAGUE game za pili kwa makundi na timu zote.
Kutokana na hali hiyo, kuna game 1 tu kati ya game zote 8 za raundi hii ambayo ndio Clasic, kubwa, yenye ushawishi na yenye kuvuta hisia za watu wa soko Afrika nzima. Nayo si nyingine ni ila YANGA vs AL AHLY.
Hii game itapigwa majira ya Saa 1 Usiku kwa saa za Afrika mashariki, lakini kwa kusini mwa Afrika hiyo game itaonekana majira ya Saa 12 jioni.
Sasa, mara baada ya kungalia vikosi vyote, aina ya uchezaji, fomu za timu, uwanja na umuhimu wa mchezo nimekuja na utabiri huu ambao kwa uhakika ni 98% uko sure.
Ni mechi ngumu mno hasa kwa AL AHLY, akijua wazi baada ya game hii atalazimika kwenda Algeria kukipiga na CR BELOUIZDAD na kurudiana nae pale CAIRO.
Kwa haraka kidogo, YANGA hadi sasa hawana majeruhi yeyote mwenye kuathiri mchezo, hivyo kikosi cha Yanga kitakuwa kama kila kilichoishushia mzigo wa Mwizi SIMBA.
Kwa kuangalia Beki za AL AHLY, always wao hawakai nyuma, 60 za mchezo wao huwa juu zaidi tofauti na YANGA ambao wao huwa nusu kwa nusu.
Kwa kuangalia vikosi hivyo na aina ya uchezaji, naona YANGA wakipata magoli 4 na AL AHLY wakipata goli 1.
Magoli 2 ya YANGA yatafungwa kipindi cha Kwanza na 2 mengine kipindi cha Pili.
Mchezo huu mkali utaamuliwa zaidi na Aziz Ki, huku nikimpa nafasi ya kufunga magoli 2 au kutoa Assit 3 siku hiyo.
Nawasilisha.