Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwanini tusitengeneze uzi maalumu kwaajili yawaimbaji wanaoanza kujifunza uandishi, melodies?
0 Reactions
0 Replies
315 Views
A crew member working on the set of Marvel's "wonder man" series has sadly passed away after falling from the rafters. "Our thoughts & deepest condolences are with his family, friends and our...
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
( 1 ) Society of the snow (2) Lift (3) Napoleon Nafikili mtanipa Maua yangu
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ilikua usiku wa manane simu ikaita, na mara nyingi namba za nje ya nchi inamuwiaga vigumu kupokea..Akapokea na moja kwa moja sauti akaitambua ni ya nani""Safari hii mpigaji anazungumza vizuri...
15 Reactions
100 Replies
10K Views
Frank Farian (18 July 1941 - 23 January 2024), artist, producer, music executive, and father of artist development and music brand marketing. For the benefit of Gen Z, unfamiliar with this music...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
HII SIMULIZI NIMEISOMA IKANIVUTIA NIKAONA NISHEE NA WATAKAOTAKA KUISOMA. Haina arosto. Haina malipo. Simulizi: Let's Call It A Night Sehemu Ya Kwanza (1) Leo ninaianza hadithi hii mpya ambayo...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
"Usinipite mwokozi, Unisikie, Unapozuru wengine, usinipite. "Yesu, Yesu! Unisikie, Unapozuru wengine, usinipite.." ______________________________________ Ni wimbo ulioandikwa mwaka 1868...
11 Reactions
9 Replies
1K Views
"Usinipite mwokozi, Unisikie, Unapozuru wengine, usinipite. "Yesu, Yesu! Unisikie, Unapozuru wengine, usinipite.." ______________________________________ Ni wimbo ulioandikwa mwaka 1868...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee. wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi. Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa...
6 Reactions
141 Replies
9K Views
Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
JASMINE . MTUNZI BEBAS CUTELY SEHEMU YA 1 . BOOKING 0756748557 . Majira ya usiku kwenye nyumba moja kubwa sana mjini ambayo iliyopo karibia na bichi . Nyumba hiyo walikuwa akiishi wadada wengi...
1 Reactions
55 Replies
20K Views
Mke wangu mimi ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasbu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati...
16 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kumaliza kumshukuru Maanani Muumba Mbingu na ardhi. Nikapata kikombe cha kahawa, nikatafakari yale yangu ya siku na ratiba za hapa na pale lakini akili ikanisukuma kusikiliza kidogo...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Muendelezo wa john wick bado ni moja ya movie nazozipenda sana sio mamilion ya watu wanavutiwa na hii movie. Kilichonivutia kwenye hii jamaa sio insane wala tributal martial art lakin anapiga kwa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwandishi: J.K.kiimbila MFALME BINTA NA RAIA ZAKE _1 Hadithi hii inaanza Zama za Giza _ jina la kukebehi katika Afrika. Wakati wanadamu walipoabudu miungu wengi lakini wakaendelea kuamini juu ya...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Lawyer wa kimexico ambae familia yake iliuliwa na boss wa kundi la madawa ya kulevya na uharifu anaamua kuungana na task force moja ya marekani huku yeye akiwasaidia intel za kuangusha drug...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality. Harmonize...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Nyie watu wapenzi wa movie aloangalie hii achambue ni kama inatisha hivii na ina code kibao hivi wachambuzi mkuje tuchambue hii movie sio mpira tu [emoji12]
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom