Huu wimbo una hisia tamu sana

Huu wimbo una hisia tamu sana

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,532
Reaction score
8,279
Jamani mwenye wimbo fulani hivi unapigwa Clouds Fm unasema "nitakutumikiaa! nathibitisha kwa juhudi na nia. Kama ilivyo leo nitajaribu tena kesho nitakutumikia".

Wimbo huu unanivuta kihisia sana. Msaada wa kuupata mazee naomba.
---------

 
Jamani Mwenye kuwanao wimbo fulani hivi unapigwa Clouds Fm unasema nitakutumikiaa! nathibitisha kwa juhudi naniaaa! kama ilivyo leo nitajaribu tena kesho! nitakutumikiaa!
wimbo huu unanivuta kihisia sana! msaada wakuupata mazee naomba!
me nnao nakurushia vp sasa
 
Hivi yule jamaa aliyetengeneza jingle ya Dj dea anaitwa nani wananzengo?
 
Nioneshe ishara, nitakufuatilia
Nikabidhi jukumu, nitalisimamia
Niagize chochote, nami nitakuwasilishia
Nitume popote, na safari nitashughulikia
Shukrani mkuu, hivi vionjo vya clouds media group nilikuwa napakua tubidy, lakini kwa sasa hawaeleweki.
 
Back
Top Bottom