Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,090
- 20,248
Mwanamziki wa kizazi kipya na mkurugenzi wa Konde gang Hamornize ameeleza mazito yaliyomfanya aondoke Wasafi ya Diamond Platinumuz.
Hamornize amesema ili kuondoka wasafi label ilimlazimu kulipa millioni 600 kama gharama ya kuvunja mkataba hata hivyo alizungushwa kupewa barua hiyo ya kuvunja mkataba mpaka rais wa awamu ya tano hayati John Magufuli alipoingilia kati na kutoa maagizo Diamond asiruhusiwe kusafiri mpaka atakampa Harmonize barua yake ya kuvunja mkataba na wasafi.
Hamrmonize amesema alifanya kila njia bila mafanikio na hatimae akaamua kumpigia simu moja kwa moja JPM na ndipo Wasafi wakampatia termination contract.