BET yakwama kuuzika kwa Tsh. Trilioni 7.4, Tyler Perry aliweka dau la Tsh. Trilioni 4.9

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,210
7,606
1692293858465.png

Gazeti la The Post linaripoti kwamba kamouni ya Paramount imefuta mnada wa kuiuza BET, kwa maelezo kuwa wamesikitishwa na ofa ndogo walizopokea kutoka kwa wazabuni.

Bei iliyowekwa na Paramount inayoendesha vituo vya TV vya VH1, BET na BET+ dola bilioni 3. Kulingana na ripoti, hakuna zabuni yoyote iliyokaribia bei hiyo, pamoja na zabuni ya Tyler Perry ya dola bilioni 2.

Paramaount wamesema “Tulifanya uamuzi huu kwa sababu ya manufaa ya kuwepo kwa hisa nyingi za BET Media Group na kulinda thamani zaidi."

Wazabuni wengine waliokuwa wakitaka kuinunua BET ni pamoja na Mfanyabiashara na Rapa Sean Combs a.k.a Diddy.

=========

Contrary to the information provided by previous reports, #TylerPerry has still been in the bidding stages for acquiring #BET. According to @NYPost, the negotiations have now ended, and Paramount has decided to keep ownership of the network.

The Post reports that Paramount has “scrapped” the auction of BET, saying they were disappointed in the low ball offers they received from bidders. Paramount’s asking price for BET—which operates VH1, BET and BET+—was $3 billion. According to reports, none of the bids came close to the asking price, including Tyler Perry’s bid of $2 billion.

“We made this decision because the benefits of maintaining a majority stake in BET Media Group creates more value for—click the link in our bio to read more!
 
Huyu Perry ni wale wazee wa upinde sio??? Hata mm sikuwahi jua kama BET iko chini ya paramount Jorge WIP ...duh
 
Watu wana pesa aisee

Thanks, nlikuwa sifahamu kama Paramount wanamiliki BET
Kwa muda mrefu BET ilikuwa inamilikiwa na Johnson na mkewe kama kampuni binasfi ya watu weusi. Lakini ndoa yao ilipoanza kuingia ukakasi, wakaiuza BET kwa Viacom kwa $3b na hivyo baadaye kutalikiana na kugawana hela hizo. Viacom ilikuwa kampuni tanzu ya Paramount na ndiyo baadaye ilibailisha jina kuwa Paramount International kama kampuni tanzu ya Paramount. Ikumbukwe kuwa Paramaunt ina kampuni tanzu nyingi sana ndani yake.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom