Sherida ... Zacksoul... Wame UNDERPERFORM ila ni vile wabongo tunabebana.... The only good performer ni Samalerah this Round 1 na Comedian wa Mbeya kidogo na so fire....
Ila S2Kzy eti kingereza...
RAISI WA MANZESE MADEE.
Hamad Ally a.k.a madee msanii wa Bongo fleva , moja kati ya wasanii wa Bongo fleva waliokuwa wanaunda kundi la Muziki linaitwa " Tip top connection" , kundi la muziki...
KWENYE MASHINDANO YA BONGO STAR SEARCH USITEGEMEE KUSHINDA KAMA UTAIMBA NYIMBO ZA BONGOFLEVA ALAFU WENZAKO WAIMBE ZA KIZUNGU.
Anaadika, Robert Heriel
Mtibeli
Juzi nilikuwa Mbweni kwenye finali...
Inauma na inaumiza sana, sina maneno mengine yakuieleezea hisia yangu juu ya Muziki na namna Unavyochukuliwa na wanaojiita wadau wa Bongo Flava.
Sipendelei sana kuandika nyuzi ila mpaka leo...
MUHTASARI
Faraja zote walizozitegemea baada ya ujio wa uongozi mpya, zilipotea. Maisha kupanda, mfumuko wa bei ya vitu, ufisadi, ukosefu wa ajira, rushwa ya kila namna. Watu walimlaani Rais...
Nchi zinazojitambua zinajitahidi Kutunza mitaji ya ndani na hivyo kila fursa inayopatikana inatunzwa kwa faida ya Nchi.
Kirando cha kumnyima Mtanzania (alistahili) Sofia (So-Fire) zawadi ambayo...
Habari zenu wakuu, natumai mpo sawa kiafya. Nisiwapotezee sana muda, tuingie kwenye lengo la kuandika chapisho hili.
Wadau nimekaa nikawaza kuhusu huu muziki wa Bongo flava, nikaona kuna kitu...
Muda huu lile tamasha la miaka 30 limeanza katika ukumbi wa Mlimani City.
Wasanii wa zamani wanapanda jukwaani kutukumbusha zile ladha za miaka ile.
Vijana wa miaka ile njooni hapa Live updates...
JINGLES KALI NA MATANGAZO MAKALI KABISA YA MIAKA HIYO
1. WEEKEND FEVER - RADIO FREE AFRICA- JAY MOE
Ni weekend fever
Jumamosi naisikiliza
2. BAMIZA - MAGIC FM - NGWEA
Magic Fm tuko juu, sisi...
Kwanza tuwe wawazi kwamba miaka ya 1990 ukionekana unaimba bongo fleva ilionekana we ni muhuni, mwizi au mvuta bangi,
Haikuwa kazi ndogo sana kuifanya bongo fleva Ikubalike,
Kubali ukatae hawa...
Wanaburudani habari zenu,
Mziki wetu kuna vionjo fulan vya zaman vinakosekana,
Hasa kwenye kiitikio ungemkuta dully Sykes, nature au q chief
Hebu tuanze na juma nature,
1. Radhia
2. Mzee wa...
Wakuu I salute you kinsmen.
Hilo tamasha la fid Q na madee naona wasanii wakongwe baadhi wanalalamika kuwa hawajaitwa au kubaguliwa ikiwa sifa walikuwa nazo.
Sawa hawawezi kuitwa wote ila...
Anasema,
Hapo kwa juu kwa moyo panakwangua
Kwenye ubongo kuna ka -kitu kanasugua
Haki ya Mungu lile likenge lingeniua
Si angesema ka -anauza ningenunua
Oya Mr. Dj
Nipoze moyo Dj
Ongeza sauti Dj...
Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa...
Nyimbo ya dansi sikumbuki vizuri imeimbwa na bendi gani (nahisi tu ni daimond Sound) inaimbwa hivi
"Nashangaa na maneno yako umekuwa kigeugeu aah neema tunapopendana na wewe umenitamkia mwenyewe...
Wadau wa burudani na wapenzi wa Hip-Hop/Melodic Rap ya ukweli hapa nchini, mambo vipi!Leo naomba kuwasogezea kazi zangu mpya kutoka kwa msanii anayechipukia kwa kasi kutoka pande za Arusha, Eazy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.