Nimeamua kulipia Netflix out of curiosity

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,829
Reaction score
16,031
Napenda sana movies na animated series. Hizi ndio my number 1 entertainment lakini sijawahi kutumia legal app yoyote
Nilidhani subscription za Netflix ni expensive mpaka jana wakati nafuatilia animated series ya "Devil May Cry" Season 2 inatoka lini, nikapata idea kwa nini nisiangalia Netflix packages

Ndio nikaidownload na kukuta subscription zao ni cheap sana. Just imagine subscription ya chini kwa mtu mmoja ni $2.99 sawa na Tsh 7800 kwa mwezi, hii unastream mwisho 480p

Halafu kuna $3.99 per month sawa na Tsh 10,400/= hii unapata 720p na kutumia mwisho device moja tu

Nyingine ni $7.99 sawa na Tsh 20,850 kwa mtu mmoja, unatumia kwa devices 2 na mwisho kustream ni 1080p

Kipo cha 4K pia nimesahau bei. Nikaona kwa nini nisilipie tu ili niache kujiuliza Netflix ikoje

Nikalipia cha elfu 10 cha mwezi, I think it's a good app. No ads, very organized, kuna movie nyingi unaweza kudownload for offline use ila unaangalia ndani ya Netflix tu, kuna collection kubwa ya animated series nk

Cha ajabu nimedownload animation ya Swapped, ya muda wa kama saa 1 na dk 41 kwa MB 359 tu, halafu ni 720p na quality ni nzuri kabisa

Even though apps like Onstream exist na website za movies zipo nyingi ila nilikuwa tu curious nikajaribu nidownload Netflix nione ikoje. Not bad
Screenshot_20260508-092355.png
Screenshot_20260508-092405.png
 
View attachment 3585493View attachment 3585494
Na kwa tv kwa single user bei ni hiyo hiyo au hii ni kwa simu tu
 
Back
Top Bottom