Unakumbuka zama za utotoni tukibishana kuhusu John Cena au The Undertaker? Wengi tuliamini wanauana kweli. Lakini leo tuweke mihemko pembeni na tuseme ukweli mchungu: WWE sio mchezo wa mapigano...
Karibuni kwenye uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Comics (Super heros) hasa kwa mashabiki wa DCEU movies na MCU movies.
Mimi ni mshabiki wa Marvels hasa Doctor Strange upande wa DC nampenda Joker...
Watu makini wa JF, kwa heshima kubwa napenda kuleta kwenu wimbo tuilioupatia jina "Sauti ya Yesu".
Wimbo huu ni matokeo ya matumizi ya teknolojia ya akili unde (AI generated song). Hii...
I don't know what happened to me but this kind of music right now is kicking into my head!, maybe my age now is getting older!..😂
I now really love R&B for sure!, This kind of music is stimulating...
https://youtu.be/N6O2ncUKvlg?si=nuAR6g3nr-ZE7494
Hii ndio ngoma pekee naweza kuiimba mashairi yake mwanzo mwisho yaani😆😆😆😆😆🤣..
I'm proud of myself yaani... Ukimaind it's up to yeah.
Habari kwako msomaji
Moja kwa Moja kwenye msaada, Kuna series Fulani ya kikorea ambayo niliifuatilia miaka kati ya 2017/19, ni ya kijeshi.
Mwanzo ni mwanaume aliyekuwa akisafirishwa ndani ya...
Kuna Kila sababu mkurugenzi wa Clouds media Bwana Kusaga kumuokoa Civilian-Coin kwa kuinua Ngoma zake katika station zake.
For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3
Katika...
Ebana bonge la ubunifu hii sasa mara ya pili nikienda kwenye bars kubwa kubwa kucheki kombe la dunia katikati ya magoma makali linapigwa hili goma la malebo na watu wana vibe Kinoma noma. Natambua...
Kwanza nawapa salamu, nazingatia itifaki/
Nadhani Mvumbo mnamfahamu, kwenye mistari mimi ndiye chaki/
Naandika zaidi ya kalamu, mwana Hip hop kindaki ndaki/
Ma mc's wa Jamii Forums, karibuni nyuma...
...
MAQUIS du ZAIRE ni bendi ambayo iliwatesa Watanzania kwa kuwaporomoshea burudani za muziki wa dansi maridhawa katika kumbi mbalimbali hapa nchini Kwa wale waliokuwa vijana kati ya...
Nawakaribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes.
Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.