Tuwasupport Wasanii wanao chipukia (Underground)

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Habarini!

Kama tunavyo fahamu kuwa JF ni sehemu ambayo mamillion ya watu wanapita hapa! Ningeomba huu uzi uwe maalumu kwa ajiri ya kuwasupport wasanii wanao chipukia! Katika Muziki! Najua tupo tofauti na tunatokea sehemu mbali mbali

Hivyo kama kuna 'underground' unaye mfahamu na akitokea usisite kuweka details zake hapa Ili watu wamfuatilie na tutoe support kupitia kutanga kazi zake na kumshauri ili wafanye vizuri zaidi!!

Mods naomba huu uzi uwe maalumu kwa kuwasupport wasanii wanao chipukia

Mimi naanza na huyu anaitwa IVAN insta anatumia @ivan_classic katoa wimbo wake unaitwa itaKuwaje nenda google type ivan itakuwaje audio usikilize na tumpe support!!

Wataje unao wafahamu na kazi zao tuwasupport mrejesho ni muhimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom