Yes nasubilia kuona tajiri akijirekodo clip akisema hadi sasa katumia bilion ngapi maana aishiwi maneno chupri chupri nyingi sana hakuna usajili wowote wa maana wamefanya hadi sasa.
Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi.
1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz
https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj
2. Mario - Franco Luambo × TP OK jazz...
Wasukuma ni watu wanaopenda sana utamaduni wao hasa katika suala la nyimbo. Ni kabila pekee hapa nchini Tanzania lenye waimbaji wengi pengine idadi yao ni kubwa hata kulingana na waimbaji wa...
Mwaka huu nilikutana na clip ya music ikitembea WhatsApp na YouTube.
Kiukweli aina ya uimbaji, uchezaji na upigaji wa ala za music ilinishangaza na kunifurahisha kwa pamoja.
Hii ilinikumbusha DDC...
Nadhani kwa watu waliojitahidi kupereresha bendera ya Tanzania na hawa Varda Arts wapo Heko kwao..., Kwa kweli Uzalendo upo Moyoni na Uzawa ni kwenye Vitendo wala sio kwenye Ngozi..... Moja ya...
Kama nilivyoahidi siku za nyuma, hatimaye naomba nilete kwenu maelezo yaihusuyo iliyokuwa Wenge Musica 4X4 Tout Terrain BCBG.Kiufupi Bendi hii ndiyo ilini-inspire kuupenda muziki wa kongo lakini...
Wakubwa nipo katika mchakato wa kuandaa list ya nyimbo 100 zinazoitambulisha bongo fleva kwa kuzingatia vipengele:-
(a) ilivyohit
(b)utunzi
(C)Ubunifu
(d)originality
(e)impact
Naomba tushirikiane...
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA"
Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na
ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa
akiimba wimbo wake kwa...
Nyimbo hii inanikosha mashairi yake yana kwenda kama hivi
"Tulikuwa na Salum mpaka kaenda Ahera wala hatukutukanana,
Aah, alipoingia yeye aliyoleta si miziki bali ni matusi,
Mji wa Morogoro...
Mwandishi: ROISA.
Namba ya simu: 0694840213.
Riwaya: JE UNANIKUMBUKA MARIAMU? ( USIPOHUKUMIWA NITAKUHUKUMU MIMI).
sehemu ya 1.
Nilikuwa nimebana macho yangu, nikihisi ubaridi wa ajabu...
Hii ni hadithi inapatikana katika app yetu ya kahawa time A SPY AND ASSASSIN IN LOVE - Continue Reading on Kahawa Time ikiwa imeandikwa na mwandishi wako mkali EDDAZARIA G. MSULWA ntakua napost...
Habari zenu wanajf?
Naomba leo tushee nyimbo zetu pendwa tunazozisikiliza kwenye playlists zetu when we feel giving up. (Kukata tamaa)
Binafsi, "Lengend" by Chronixx ndo nyimbo ambayo napenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.