Mimi filamu hii nimependa kwamba imetukumbusha kuwa wanawake tusiwe ving'ang'a na UKIMWI pamoja na magonjwa ya zinaa bado vipo. Tuweni makini wakuu hayo mengine mtayaorodhesha hapo chini.
Habari za muda huu Wana-JF wenzangu, natumai mko salama.
Leo kwenye jukwaa la burudani na kumbukumbu (Zilipendwa), natamani tuutazame kwa ukaribu wimbo mmoja maarufu sana uliorekodiwa miaka ya...
1: Sos B - Kukuru kakara.
sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania.
2: Picko - Kikongwe
3: JI -Kidato kimoja
4...
GENERAL DEFAO
mara ya kwanza nasikiliza album ya Defao (Defao Matumona) ilikuwa inaitwa General and Big Stars mwaka 1993 nlipenda saut ya huyu jamaa alikuwa naimba kw autulivu flani ingawa sikuwa...
Teaser Trailer ya series ya House of the Dragon imetoka. Ni Prequel ya Game of thrones. Inaanza tarehe 21 August 2022.
Hii series mpya toka HBO ikielezea kiundani chimbuko na historia ya House...
Civilian-Coin has officially released three major collaboration remixes: "Touch My Body" featuring Mariah Carey, "See You Again" featuring Charlie Puth, and "Whenever, Wherever" featuring Shakira...
15. Dar-Es-Salaam stand up -chid benz
14.Anakuja - Sister P
13. Hayakuhusu - Rah P
12. Stimu zimelipiwa -Joh makini
11. Bila sanaa -Imamu Abbas ft Juma nature.
9. Ni hayo tu - Fid q
10. Wauguzi...
Muziki wa Bongo unakaribia Miongo miwili sasa, wanamuziki wengi pamoja na maproducer wamechangia muziki huu kufika ulipo sasa, ifuatayo ni orodha ya midundo mikali zaidi katika historia ya Muziki...
"Tukianzia uzuri tu
She got a gwan
Tabia, heshima, ndio huyo doo
She got a gwan
Mpaka kwa ma sista doo oh yeah
Nabaki tu kusema ooh
She got a gwan
Tukianzia uzuri tu
She got a gwan
Tabia, heshima...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.
Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho...
Hell...
Nazungumzia hawa kama wanajiita sijui Watubaki na cheka tu. Naonaga matangazo yao kiukweli naona watu wanacheka vitu ambavyo hata havichekeshi.
Au ni mimi ndiye nina stress. Maana ule ni...
Masafa Marefu- Tancut
Leo nimeona nilete mbele yenu moja ya kazi bora kabisa zilizowahi kutokea katika tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini Tanzania. Huu ni wimbo wa "Masafa Marefu"...
Kwa wale mnaofuatilia tamthilia ya olhan kila 3 mpaka ijumaa wameondoa baadhi ya wahusika mpaka ladha! inapotea"" mfano olhan ni mwingine othman wameleta jingine bala malhun n.k wamewabadilisha...
Simulizi: Kurudi Kwa Moza
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Moza alikuwa msichana mrembo ila aliishi maisha ya shida na kumfanya ajaribu kufanya kazi za...
Nayajua Maisha yangu mpaka TONGWE kama muvii..oooh kaa tayar...oooh... action...oohh.... Naanza mwisho kwenda mwanzo.... NGOMA Ina goooo...goooo.. nayajua Maisha yangu mpaka tongwe Kama muviiii...
KABURI LA MSOMI.
Karibuni sana wapenzi wa simulizi. Leo naitambulisha kwenu simulizi hii tamu iendayo kwa jina la KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya...
Alimgeuka business partner wake wa muda mrefu dame dash na akahakikisha anafirisika ili asiwe tena mshindani wake.
Alianza kudate na beyonce tangu akiwa na miaka na 16, alidate na aliyah akiwa na...
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Rayvanny, amezungumzia umuhimu wa wasanii wa Tanzania kushiriki katika majukwaa makubwa ya kimataifa, akieleza kuwa hatua hiyo inachangia kukuza tasnia ya muziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.