Sahizi kwenye magroup mengi ya Whatsapp kuna hii namba ya kihindi inatembea sana +91 72 99 899640
Ni ya kihindi kwa code zake na ukiuliza chochote kile wabakujibu within a second its like...
Hello,
Cpwaa nadhan anajua mziki ila sahiv naona yuko kimya sana, anafanya ishu gani sahiv?? labda warumi waweza kuwa na jibu juu ya hili.
Action, 6 in the morning etc... izo ngoma zake...
Wiki iliyopita rapper wa Kenya Jackson Ngechu Makini a.k.a Prezzo alipokuwa kwenye mahojiano na Betty Kyalo wa KTN ya Kenya, aliulizwa kuhusu msanii mwenzake Jaguar, swali ambalo liliamsha upya...
Habarini Jf
Tanzania tukiwa katika hali sintofahamu kwa kilicho tokea Zanzibar tarehe 12/1/2016 kuhusu ubaguzi ambapo vijana wanao daiwa kuwa ni wa CCM kupita na bango lilowataka Machotara wa...
Kitabu kipya cha maisha ya Beyonce na Jay Z kimeingia mtaani. Ni kitabu kilichoandikwa kwa kina kuhusu maisha ya wanandoa hawa maarufu duniani. Kina kurasa 100, picha za kuvutia na historia zao...
Shilole,Eddy Kenzo wa Uganda penzi jipya.
Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini...
Icon wa Bongo flava Naseeb ‘Diamond’ Abdul, amewashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa.
Akizungumza na TBC juzi...
Akihojiwa na Savannah fm ya jijini Mwanza kwa njia ya simu katika kipindi cha "Bongo fleva na mbongo fleva wetu" aliulizwa kwanini ameweza kuwa kwenye mahusiano na staa bila penzi lake kuyumba...
Nlikuwa namsikia tu sasa wakati na surf tweeter nikakutana na page yake na kuona ana follower kama 80 Million nlishtuka kidogo nlipoingia google nikampekua nikakuta ni mwanamziki basi nikaamua ku...
CMB Prezzo alijivunjia heshima wakati akifanyiwa mahojiano kwenye televisheni ya KTN, mara kwa mara akionekana kutokuwa makini kuyajibu maswali ya mtangazaji wa kike Betty Okari na badala yake...
Kadri siku zinavozidi kwenda teknolojia inakua. Siku hizi hatujazi masongi kwenye memory card huko vibandani ni mwendo wa online streaming tu.
Basi katika pitapita zangu nimedownload app ya...
Kama alivyopata kusema Msanii Ben Paul kuwa Kiba anakuwa overrated halafu inamgharimu sana.
Uwezo na upeo wa msanii yeyote utaupima pia katika mahojiano mbalimbali na media,huwezi kudanganya umma...
Hakyamungu huyu samatta ndiye wa kumuombea watanzania sio wale waliopiga push up kwenye kampeni baadaye wanakuja kulialia eti tuwaombee nyumba zimepigwa x
embu angalia uongo wa Club african ya...
DIAMOND PLATNUMZ amechaguliwa kwenye Tuzo za #Maya Awards-2016 za nchini naijeria ambazo upigaji kura ushaanza na mwisho mwezi Februali,2016 katika kategori ya African Artist Act(Mtumbuizaji bora...
Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka...