KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
CMB Prezzo alijivunjia heshima wakati akifanyiwa mahojiano kwenye televisheni ya KTN, mara kwa mara akionekana kutokuwa makini kuyajibu maswali ya mtangazaji wa kike Betty Okari na badala yake akawa akimgusagusa huku pia akimkatiza alipokuwa akimhoji. SASA kinachomsumbua na kumhangaisha CMB Prezzo kimegundulika.
Jamaa yupo na stresi za muziki.
Tangu wikendi, jina lake limetawala mitandao ya kijamii kufutaia kile kisanga cha aibu alichokifanya akihojiwa kwenye runinga.
Prezzo alijivunjia heshima wakati akifanyiwa mahojiano kwenye televisheni ya KTN, mara kwa mara alionekana kutokuwa makini kuyajibu maswali ya mtangazaji wa kike Betty Okari na badala akawa akimgusa gusa huku pia akimkatiza alipokuwa akimhoji.
Kitendo hicho cha Prezzo kiliwakera mashabiki wengi na hata mume wa Betty, Dennis Okari ambaye naye alitumia Twitter kumkashifu.
“Inashangaza ni vipi msanii atakuja kwenye mahojiano ya runinga ya bure akiwa mlevi na hajielewi.
Ni fursa ya kipekee ambayo wasanii wengi hutamani ila hawapati. Inashangaza sana,” aliandika Okari.
Mama amwombea msamaha
Ingawaje baadaye mamake Prezzo, Bhoke Makini aliomba msamaha kwa niaba ya mwanawe, imebainika kuwa msanii huyo anasumbuliwa na mawazo ya namna ya kutoka tena kimuziki kitu kilichompelekea kuanza kutumia maunga na mdhahara yake yalionekana waziwazi.
“Wengi hawajui Prezzo ni mtumiaji maunga na sasa ndio mbaya zaidi kwa sababu anaumizwa na mawazo ya namna anavyoweza kutoka tena kumuziki. Yule Prezzo wa nyuma sio huyu wa sasa. Kuna ngoma amefanya ila ameshindwa kabisa kuisukuma, shoo nazo hapati. Kwa mfano Disemba alikosa shoo kabisa wenzake kama Cannibal wakipata. Hivi vyote vimemwathiri sana kiakili ukiongezea na matumizi yake ya maunga hivyo mimi kuona kile kisanga runingani, sikushtuka,” alifunguka promota mmoja ambaye ana ukaribu sana na Prezzo kutokana na heshima yao ya kufanya kazi pamoja hapo nyuma.
Link ya hayo mahojiano hii hapa