MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Akihojiwa na Savannah fm ya jijini Mwanza kwa njia ya simu katika kipindi cha "Bongo fleva na mbongo fleva wetu" aliulizwa kwanini ameweza kuwa kwenye mahusiano na staa bila penzi lake kuyumba kama wengine, mbongo fleva huyu alidai " Unajua nampenda Vanessa coz alinionesha zaidi ya wema na upendo, na ofcoz nilikuwa na zali mpaka kumng'oa huyu mtoto,si unajua watu kibao walikuwa wanamtolea macho" na pia amedai wanaangalia kama mambo yakiwa fresh wafunge ndoa mwisho wa mwaka huu na mnyange huyo.
Mimi nasema Kila la kheri katika hilo
Mimi nasema Kila la kheri katika hilo