Kwanini Ali Kiba hafahamiki nje ya Tanzania?

shadownet

Senior Member
Aug 4, 2015
133
674
Kadri siku zinavozidi kwenda teknolojia inakua. Siku hizi hatujazi masongi kwenye memory card huko vibandani ni mwendo wa online streaming tu.

Basi katika pitapita zangu nimedownload app ya spotify inayokubalika duniani kwa asilimia kubwa na kuna wasanii wakubwa wengi tu. Ile nasearch 'Ali kiba' nothing, najaribu 'Ally kiba' nothing, nasearch nyimbo zake hamna kitu, ikawa shida kweli!

Nikaona nisearch na wasanii wanaokubalika Africa nzima kama kina Kcee, Diamond, Wizkid wamo bila tatizo.

Tatizo ni lipi hasa kwa msanii Kiba kutokujulikana nje ya mipaka?
 
Wewe umemuona kiba tu ndo hafahamiki katika wasanii wote tz??? Acha zako wewe sema tu kwamba diamond ndio msanii anaekubalika afrika Sio Mpaka umtaje na kiba....alafu wewe
 
Kiba yupo zanzibar kaamua akajiliwaze kwa kuitizama yanga kombe la mapinduzi
 
Hili nalo yampasa alitazame kwa jicho la tatu.
Kiba ni mshamba sana sometimes.
 
Ukiona mtu muda mwingi yuko hapa muogope ( maana mwenye njaa hawezi kukaa hapa muda wote au mwenye kibarua cha kubahatisha )
Wengine tupo online kugoogle jinsi ya kutumia hela make hela zipo afu sijui nizifanyie nini :D
 
Back
Top Bottom