Kumbe huyu Katy Perry hatari!!

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,149
1,718
Nlikuwa namsikia tu sasa wakati na surf tweeter nikakutana na page yake na kuona ana follower kama 80 Million nlishtuka kidogo nlipoingia google nikampekua nikakuta ni mwanamziki basi nikaamua ku download nyimbo zake na ndipo nikakutana na albam yake ya Prism aisee hatari sana huyu dada anajua kuimba.

Ndomana wanasema usichokijua ni usiku wa giza.
 
Kuna nyimbo flani hivi anazingua na mshkaji wake ....

Afu anamua kuachana nae anaenda jeshini ....

Bonge la song!
 
Nlikuwa namsikia tu sasa wakati na surf tweeter nikakutana na page yake na kuona ana follower kama 80 Million[/b]nlishtuka kidogo nlipoingia google nikampekua nikakuta ni mwanamziki basi nikaamua ku download nyimbo zake na ndipo nikakutana na albam yake ya Prism aisee hatari sana huyu dada anajua kuimba.

Ndomana wanasema usichokijua ni usiku wa giza.

Pole kwa mstuko mkuu
 
Attachments

  • 1452641178092.jpg
    1452641178092.jpg
    43.6 KB · Views: 37
Nlikuwa namsikia tu sasa wakati na surf tweeter nikakutana na page yake na kuona ana follower kama 80 Million nlishtuka kidogo nlipoingia google nikampekua nikakuta ni mwanamziki basi nikaamua ku download nyimbo zake na ndipo nikakutana na albam yake ya Prism aisee hatari sana huyu dada anajua kuimba.

Ndomana wanasema usichokijua ni usiku wa giza.
Ungekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za Marekani, hasa za chama cha Democratic wala usingestushwa na ukali wa Katy Perry!. Amekuwa mhamasishaji mkubwa wa kampeni za Raisi Obama!.
 
Kate perry ni zaidi ya rihanna na beyonce sema dr luke anambeba sana

Kate Perry anajua lakini kusema zaidi ya Beyounce ni kumvunjia heshima Queen Bey. Sijui umetumia vigezo gani mpaka umefikia uamuzi wako. Kila mtu na mtazamo wake lakini ukweli utabaki palepale vocal, perfomance, money, fame etc sio Kate Perry tu wengi watasubiri Sana kwa Queen Bey.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom