Wema na Idris ni wapenzi kweli?

ranjan

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
338
288
Jamani naomba mnisaidie kunifahamisha hivi wema na Idris ni wapenzi kweli? Au Kuna movie wanatarajia kuitoa hivyo wanaifanyia promo?
 
Last edited by a moderator:
tunda76_2015-12-17_14-56-18_zpsnkbsfhce.jpg
 
Miguu sasa!!, kama spoku ya Baiskeli.
Halafu huyu ndio afananishwe na Zari kwa uzuri na Miguu hii iliyo kama ya Mbuni aliyefiwa na mumewe!!!
Mnapata dhambi tu mnaemshindanisha uzuri huyu Wema na Bosslady.
Mnakosea hapo tu.
Swala la kuwa na miguu kama spoku ni swala kisilo na uchaguzi.
Wema ni mzuri kwa nafasi yake na jinsi yake ya kipekee na mvuto na haiba yake.Ingawa ni ukweli usiopingika amekua mtumwa wa urembo kupindukia kufikia kiwango cha kutaka kudhuru mwili
Zari naye ni mzuri kwa jinsi yake ya kipekee
FYI:Zari hakuwa mweupe kiasi kile.
 
Team wema waache kumdanganya huyu mama ubaya maana wao ndiyo wanazidi kumpa sifa za kijinga mpaka anataka kuwa Kama kazama kwenye ndoo ya tindikali. Yeye ni wa kawaida Sana hamfikii zari kwa uzuri wala kwa maisha. Alishapoteza ajipange tena aache kutafuta kiki atafute hela.
 
Mnakosea hapo tu.
Swala la kuwa na miguu kama spoku ni swala kisilo na uchaguzi.
Wema ni mzuri kwa nafasi yake na jinsi yake ya kipekee na mvuto na haiba yake.Ingawa ni ukweli usiopingika amekua mtumwa wa urembo kupindukia kufikia kiwango cha kutaka kudhuru mwili
Zari naye ni mzuri kwa jinsi yake ya kipekee
FYI:Zari hakuwa mweupe kiasi kile.
Ngoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
 
Attachments

  • 1452475021197.jpg
    1452475021197.jpg
    54.3 KB · Views: 86
Back
Top Bottom