okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,639
hellow,
Cpwaa nadhan anajua mziki ila sahiv naona yuko kimya sana, anafanya ishu gani sahiv?? labda warumi waweza kuwa na jibu juu ya hili....
Action, 6 in the morning etc... izo ngoma zake zilitamba sana miaka ya hapo nyuma..
Usihangaike na warumi kaishiwa kabaki kucomment tu.hellow,
Cpwaa nadhan anajua mziki ila sahiv naona yuko kimya sana, anafanya ishu gani sahiv?? labda warumi waweza kuwa na jibu juu ya hili....
Action, 6 in the morning etc... izo ngoma zake zilitamba sana miaka ya hapo nyuma..
Last time alikuwa anaminya kinondoni mitaa ya best bite..mzigo alikuwa company moja ya miito ya simu pale barclays houseYupo tanga ankwea minazi na kula ngogwe tu
Last time alikuwa anaminya kinondoni mitaa ya best bite..mzigo alikuwa company moja ya miito ya simu pale barclays house
analipwa shilling ngapi?Yeah Mkubwa,Jamaa anapiga mzigo PushMobile,office zao zipo Barclays House.
analipwa shilling ngapi?
Cpwa kaangukia pua pwaaaaahellow,
Cpwaa nadhan anajua mziki ila sahiv naona yuko kimya sana, anafanya ishu gani sahiv?? labda warumi waweza kuwa na jibu juu ya hili....
Action, 6 in the morning etc... izo ngoma zake zilitamba sana miaka ya hapo nyuma..
Mshahara ni siri ndugu Kati ya employee na employer.analipwa shilling ngapi?
Mshahara ni siri ndugu Kati ya employee na employer.
Uselebreti Raha hautaki Kula mademu wa bure?Mkuu u celebrity si utaki kabisa, hata nikipewa bure. watu wanakuperuzi each and everything.
Uselebreti Raha hautaki Kula mademu wa bure?
Suma lee kaacha mziki, ni ustaadhi sasa hivi, kaigeukia diniHuyo msomi atakuwa yuko kwenye plan B baada ya mziki kufeli, sina shaka atakuwa ofisini anakula kiyoyozi, labda ungemuulizia mwenzake Sumalee yule hana shule sijui anafanya ishu gani sahivi