20%: Nyota ya Jaha iliyozimika ghafla

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
10406613_1075128489168235_4842689771838797438_n.jpg
 
walimwengu na ubaya wao...walimfanyaje?au yeye mwenyewe alipoteza muelekeo baada ya kuzidisha yale mambo 'ya cha wapi hiki'
kweli ni mutu ya bangi sana.lakini watu walikula sana mgongoni mwake,wakalinyonya jasho lake kisawasawa.na vile ni mtu ya ndumu akahisi itamletea nafuu akapotea kabisa.
 
Wizara ya michezo na wasanii iandae programme maalumu kwa ajili ya hawa vijana wanaotoka. Wengi wao hutoka kwenye maisha magumu wengine wanakuwa hawana Guidance. Hawa vijana wengine wanaotoka unakuta wengi wanasupportiwa guidance na wazazi wao. Mifano mingi Diaomonda- mama yake, Sammata wazazi wake wote. Kifupi ili tusipoteze vipaji kama cha 20% na kuweza kuwafanya waendelee kijuajiriSerekali iangalie jinsi ya kuwasupport wasanii - financially lakini hata kimuongozo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom