Diamond Platnumz kuvutana shati na Wizkid, Davido kwenye MAYA Awards - 2016

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
195
DIAMOND PLATNUMZ amechaguliwa kwenye Tuzo za #Maya Awards-2016 za nchini naijeria ambazo upigaji kura ushaanza na mwisho mwezi Februali,2016 katika kategori ya African Artist Act(Mtumbuizaji bora barani Afrika).
Katika kategori wakiwemo.
1.Sarkodie
2.Wizikid
3.Fuse ODG
4.Davido
5.Diamond Platnumz
6.AKA
7.Cassper Nyovest.
Habari kamili
BONYEZA HAPA.Kama link hatofunguka nenda kwa Google website yao afu zeni utakuwa mwenye kupiga kura website yao ni www.mayaawards.com pardon me mafwans.
Hitimisho:Hongera #Mbwana Samata.
 
Last edited:
Wanzania ukiwapa nafasi ya kupiga kura imekula kwako , tekno,itel na Samsung feki nyingi sana ,tulikua hatushindi kipindi kile kupiga kura ilikua 250 SMS sasa hivi bure utawatambua tu na hivi main source ya hbr ni istagram=album ya kisasa hadi wafanyakazi wa ndani wanayo , yaani Tanzania sasa hivi tunaongoza kwa kufollow, watanzania wenye million followers wengi ndo nchi inayoongoza ikifuatiwa na Nigeria (Africa) maumivu kwao wakishamaliza kugawanyisha kula za Nigeria kwa davido na diamond population yao kubwa ambayo ni silaha yao inakua useless, njia pekee ya kufanya Tanzania kukosa hizo tuzo ni kumuweka Kiba ili kugawanya kura za watanzania otherwise wanaisoma namba,
 
Hapo kweli kinyang'anyiro, collabo la maex wa diamond na madem alowapitiaga ni vote for Davido, mashabiki wa king asiejua mziki vote for davido, wenye wivu wanaotamani diamond ashindwe vote for davido.....mie kura yangu kwa Ally Kiba hakuna namna
 
Kibakuli hayupo kwenye category...

Subiri kill music awards
 
Hongera sana Simba kwa kuchaguliwa tena kuwania

Unazidi kutupa raha sie
 
Duh wanaija wana tuzo nyingi aisee kila siku tuzo, inaonekana hii biashara inalipa sana
Yani we acha tu ingia kwenye site yao ya awards ka nilivokuelekeza hapo juu yaani utakuta kategoris zingine kama website bora naijeria.Na nyingine kbaooo.
 
Hapo kweli kinyang'anyiro, collabo la maex wa diamond na madem alowapitiaga ni vote for Davido, mashabiki wa king asiejua mziki vote for davido, wenye wivu wanaotamani diamond ashindwe vote for davido.....mie kura yangu kwa Ally Kiba hakuna namna
bwenyenye wew na chuki zako binafsi kajinyonge sasa na nitakutafuta baada ya mond kushinda
 
Ah! Teeeeeeeeeenah! mi shachoka sasa...! Sema hawa jamaa inaonekana mabwege sana; mbona kama wanawafahamu wale wale wasio na mpinzani!
 
Back
Top Bottom