maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,424
- 956
Usishangae kukuta instagram Mbwana Samatta ana followers 81,000 tena wameongezeka juzi sababu ya hype ya karibuni,Ulimwengu Thomas ana 66,000 na yule daktari wetu aliye Marekani aliyegundua detection ya cancer,somebody Malima hutashangaa kukuta ana followers 100.
Sasa this is where it gets crazy kina Shilole,Wema ,Aunt Ezekiel ni zaidi ya followers laki 8
wasutaji wakubwa kama kina Mange Kimambi,Tunda 76,Mrekebisha tabia,Baby_ake,duller square ni zaidi ya followers 150,000.
Huko Kenya yule jamaa tall wa the talented Sauti sol ana followers 30,000
ushagundua sisi ni watu wa aina gani?
GOD tusaidieeeeeeeee

Last edited by a moderator: