Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Kutokana na fununu zilizozagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke Gigy amefunguka kuwa kwa sasa anatoka na Matonya pia na sio big deal, japo ana mke
“Yeah ni kweli mimi Matonya kama unayoona kwangu mimi ni zaidi ya mpenzi, hayo mambo ya yeye na mkewe mimi hayanihusu, muulize mwenyewe,” Gigy ameiambia Bongo 5
Akizungumza na eNewz Matonya hakutaka kufunguka wazi kuwa ameshaonja supu ya Gigy,na huku Gigy akisema wazi kuwa mpaka sasa msanii huyo kashakunywa kabisa supu yake ingawa inafahamika ana mkewe wake wa ndoa.
“Salamu kwa mkewe sasa Matonya kwangu ni zaidi ya mpenzi akiwa kwake nafasi ni yake na akiwa kwangu ni zaidi ya mpenzi,”alisema Gigy.
Source: Bongo5.